Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO

Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?

Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?

Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona

Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
 
Nenda muhimbili onana na wataalamu wa neurology.... Utapata ufumbuzi mkuu..

Pia tizama mwenendo wako wa maisha nikiwa na maana majukumu unayoyafanya je yanahusiana na matumizi makubwa ya viungo? ( Nguvu zilizopitiliza)

Pole mkuu...

Amini utapona na wapo waliopona... Fanya vipimo onana na wataalamu wa neurology watakusaidia...

Hizo Pregabalin na meloxicame zinapunguza maumivu tu hasa yanahusiana na nerves na viungo.

Kila lililojema na upone boss
 
Asante sana
 
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
Mzee wangu alikua anatumia Rubber moja hivi inajazwa maji ya Moto haswa kisha inafungwa alafu unamwekea kiunoni na Moto wake, yeye ule Moto naona ndio ilikua pona yake inakaa hapo kiunoni hadi anapitiwa usingizi akiashtuka maji yamepoa na kiuno kimekaa sawa anameza dawa na dawa zingine nampaka kiunoni then Basi Ila kikubwa kilichomponya ni Rubber ya maji Moto na dawa za kuchua na kumeza sasa hivi yupo safi hatumii tena Rubber
 
Back
Top Bottom