Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.

Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.

Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.

Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Acha kuvaa nguo za ndani za kubana
 
Moto kiasi unaweka kwenye bati au sinia dogo.. . Kisha weka mvunguni mwa kiti au kitanda Cha kamba.. ...kaa hapo upate lile joto kwa nusu saa kila siku...mda wa mwezi.. ..yaani usikie umoto Moto mkali kidogo..

Ni dawa kubwa Sana.. .. na hata wenye ganzi na kuumwa nyayo ..,ukiweka unyayo juu upate lile joto .. ..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana
 
Yaan upepo wa Bawaziri umesambaa sana, watu wengi wanahangaika na huu ugonjwa, lol.

Poleew sana.
 
Wadau mnamshauri jamaa atafute joto kwenye makalio, wengine ajipake wese kusoftisha tako... Dah.

Pole saana mkuu,
 
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.

Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.

Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.

Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Pole sana.
 
Kunywa dawa za minyoo ,Kuna mshkaji alikuwaga na kesi Kama yako
 
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.

Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.

Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.

Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Pole sana ndugu
 
Wadau mnamshauri jamaa atafute joto kwenye makalio, wengine ajipake wese kusoftisha tako... Dah.

Pole saana mkuu,
Mzee sidhani kama wanaonishauri wanashauri wakiwa na nia mbaya ama utani, naamini kabisa ni katika kunisaidia kupata tiba, na hata kama utakua unajua tiba yoyote ukanishauri nitashukuru sana
 
Back
Top Bottom