Nitumie tiba gani nipone maumivu ya makalio

Mar 8, 2022
27
12
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.

Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.

Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.

Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
 
Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
3,016
4,783
Hiyo inaitwa Lavetor Ani Syndrome. Chanzo chake hasa hakijulikani. Ni kuwa misuli hiyo ya lavetor inakaza. Kama ambavyo wachezaji mpira misuli hukaza. Ukikaa sana au kufanya mapenzi kupita kiasi hali inakuwa mbaya zaidi. Tiba yake/kutuliza kwake ni dawa za kulainisha misuli. Kama Diazepam au Tizanidine. Ni kujua jinsi ya kuishi nayo, huwa inasumbua sana.
 
Asante sana mkuu, nitaanza kufanyia kazi hii leo
 
Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
2,498
5,458
Pia upunguze idadi ya mabao. Hakuna umuhimu wa kupiga mawili kwa siku. Mara moja kwa wiki is more than enough.
Wengi sikuhizi wanapiga Mara mbili kwa mwezi.
Hili la mara mbili kwa mwezi linawezekana kama mke yuko Dodoma na mme yuko Dar. Kama kila siku ni kitanda kimoja jiandae kwa vimaneno vya kejeli kutoka kwa mke.
 
Mar 8, 2022
27
12
Pia upunguze idadi ya mabao. Hakuna umuhimu wa kupiga mawili kwa siku. Mara moja kwa wiki is more than enough.
Wengi sikuhizi wanapiga Mara mbili kwa mwezi.
Mkuu naweza kufanya lolote ila shida ni ugonjwa umekua wa kudumu kwa zaidi ya mwaka. Nifanye au nisifanye mwili unahitaji tiba. Maumivu ni one way
 
kakamina

JF-Expert Member
May 23, 2021
457
528
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.

Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.

Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.

Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Ilianza anzaje hii eleza

Au ulikuwa unaruka senyenge?
 
Sharbel

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
242
153
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.

Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.

Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.

Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.
Maumivu yanasambaa wapi hadi wapi
 
prumpeti

JF-Expert Member
Feb 28, 2022
471
963
Ivi hapo kwenye mabao nasikia mawili au matatu mimi ninashida moja nikimwaga kimoja cha pili kinakuwa ni hadithi yani nasugua lakini wapi mpaka tunapumzika shida nini mbaya au afya mbovu..
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
21,280
57,592
Pumzika kwa muda kupiga MIBAM BAM kwa shemeji.. Tafuta mafuta ya habat soda(black seeds) shemeji awe anayapasha joto kisha anakufanyia masaji ya makalio na kiuno. Ukipata na ya karafuu unamix inapendeza zaidi..
Fanya mwezi ulete jibu
Asubuhi na jioni kabla ya kulala.
 
Asante sana
 
binti kiziwi

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
5,621
11,878
Ivi hapo kwenye mabao nasikia mawili au matatu mimi ninashida moja nikimwaga kimoja cha pili kinakuwa ni hadithi yani nasugua lakini wapi mpaka tunapumzika shida nini mbaya au afya mbovu..
Pole, upungufu wa nguvu za kiume.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom