Msaada: Nakabiliwa na maumivu makali ya Nyonga

mahatzog

New Member
Aug 7, 2023
1
1
Habari ndugu zangu,

Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu kwa muda tu ila yanarudi na xrays nimepiga sina tatuzo lolote.

Tangu niumwe ni miezi 7 sasa na sijui nawezaje kupona, mwenye ushauri au kujua dawa naomba mnisaidie ndugu zangu.
 
Pole sana wewe ni me or ke?

Vp ukijaribu mfano kuinama au kuchuchumaa?

Vp ni nyonga ya kulia au kushoto jee mguu unakufa ganzi?
 
Habari ndugu zangu,

Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu kwa muda tu ila yanarudi na xrays nimepiga sina tatuzo lolote.

Tangu niumwe ni miezi 7 sasa na sijui nawezaje kupona, mwenye ushauri au kujua dawa naomba mnisaidie ndugu zangu.
Pole
 
weka details vizur
1. jinsia
2. uzito wako
3. mazoezi ya mwili
4. kazi (kama inakuweka kweny kiti kwa muda mrefu saanaaa)
 
Habari ndugu zangu,

Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu kwa muda tu ila yanarudi na xrays nimepiga sina tatuzo lolote.

Tangu niumwe ni miezi 7 sasa na sijui nawezaje kupona, mwenye ushauri au kujua dawa naomba mnisaidie ndugu zangu.
Tumia hizi hapa. Ni virutubisho unavohitaji sio dawa pasee
IMG-20230807-WA0182.jpg
 
Kufanya mapenzi pia ni dawa! Umejaribu hio hali ikashindikana???
Vipi umecheki UTI???
 
Habari ndugu zangu,

Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu kwa muda tu ila yanarudi na xrays nimepiga sina tatuzo lolote.

Tangu niumwe ni miezi 7 sasa na sijui nawezaje kupona, mwenye ushauri au kujua dawa naomba mnisaidie ndugu zangu.
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako ya nyonga nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Back
Top Bottom