redSilverDog
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 470
- 76
kuna thanks na like buttons! 2nahitaji "booo" na "dislike" buttons!
good job.rosmarie dreamwever sio complicated unachotakiwa ku kutafuta video traniing yake kwanza. Kama una bandwidth ya kutosha downlod hii kitu.Ndani yake nadhani kuna exercise file ambayo ukifuatisha hatua kwa hatua huku na wewe unajaribu basi utakuwa umekuwa begginer mzuri wa Web development na hapo hapo mtaalam wa kutumia dream wever. Hii ni video ya intro Pakua training video nzima kwa bei chee hapa Creating a First Website With Dreamweaver CS5 - Lynda.com (download torrent) - TPB teh teh tehkujua contents za hiyo video zina nini cheki hapa Dreamweaver Tutorials | Creating a First Web Site with Dreamweaver CS4 ( Hata kama unatumia dreamwever CS5 tofauti si kubwa )Good luck
Tafuta kwenye torrents zipo zilizofanyia usanii (Chakachuliwa).dah ile bei ya dream weaver imentisha wote mwatumia ile ile trial version au kuna wenye uwezo wa kuichakachua? Je kama ntaidownload ile trial then ikaisha niki un install halafu nkaistall upya yakubali??
Mi natumia netfussion essential je imezidiwa vitu vingapi na dreamweaver?? Msaada pls
Na wewe endelea kuishi kwenye ulimwengu wa kukutana na mwalimu kila siku tuone kama utavuna kitu. Wengine shule yetu iko hapa hapa online na ninaweza kuitumia vizuri tu hiyo dreamweaver. Msiwadanganye watu bana, ninachoweza kusema ni kuwa pia inategemea na kichwa ya mtu. Wengine sie shuleni mwalimu alifundisha mara moja kesho yake alitukuta kwenye topic inayofuata tumeshamaliza tunafanya marudio!Tatizo la sisi wabongo ndio hilo. Muache Kaa la Moto aendelee ku post madesa kama yatasaidia.
Na wewe endelea kuishi kwenye ulimwengu wa kukutana na mwalimu kila siku tuone kama utavuna kitu. Wengine shule yetu iko hapa hapa online na ninaweza kuitumia vizuri tu hiyo dreamweaver. Msiwadanganye watu bana, ninachoweza kusema ni kuwa pia inategemea na kichwa ya mtu. Wengine sie shuleni mwalimu alifundisha mara moja kesho yake alitukuta kwenye topic inayofuata tumeshamaliza tunafanya marudio!
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
Ttaizo sii waafrika na watanzania tunapenda sana formal education. Ndio maaaana ukauta watu tunahangaika na degree, Dr na phd. Angalia yule kijana alliyekuwa ana hack FBI just 18.
Jiulize
mambo ya teknolojia sio kama lugha au sheria. Unless hujui kabisa hapo sawa lakini kama unajua AB basi kuendelea na CDE F mpaka z unaweza kutumia mtandao kama una nia muda.
- kajifunzia darasa gani au ni mwalimu gani kamfundisha ?
- Watanzania wangapi ambo pamaja na formal education na qualification tulizaonazo tunaweza kufanya kama hujo kijana ?
Kama unataka kujua kitu kwa ajil ya kutafuta kazi hapo inabidi uende formal class lakini kama unataka kupata elimu kwa manufaa binafsi na biashara yako mwenyewe internet ni jibu
Mimi namshauri muuliza suali aende shule kama atakua hawezi kufuata "internet tutorials" kwani Adobe Dreamweaver ni IDE ya kiume na imeunganisha technology nyingi za web developments so hata akifuata hiyo video, atajikuta bado kuna mambo atataka kufanya bila kuwa na ushauri au uwezo nayo-myself am dreamweaver teacher but si shauri kitu kama hiki kuweza kukisoma kwa minotisi tu ya online-it need clear and live discussion between teacher and student.
Mkuu nakubali a live discussion between a teacher and a student, lakini wakali wengi kwenye haya mambo ya IT hawakwenda darasani. Ni ma utundu yao, yamewafanya wawe hapa walipo. IT bila utundu, sindhani kama utafanikiwa. Darasa litasadia tuu kujua theoretical backgrounds na basis za applications, but how you gonna apply it in practice ni utundu wako. Mie nilianza kujifunza Coldfusion kwa kutumia manuals za Dreamweaver na internet tutorials.
Halafu kwenda shule ina include hata internet tutorials, unless una limit shule kwenye majengo yaliyotengenezwa kwa asjili ya kufundishia. Shule ipo popote hata hapa JF. Hii ina maana pia kuwa walimu hawapatikani kwenye majengo ya madarasa tuu.