Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
bei gani hili mkuu???
ni kama tsh 35,000
bei gani hili mkuu???
But watch out....sometimes cheapest things are most expensive at the end....
au Masia Coach...hahahaha
mi siko kwenye hiyo sekta kaka
Mama Mwaji Group.Kamata hilo basi uliloambiwa na mdau hapo juu, Ndenjela, ni jipya, comfortable na mwendo wa heshima sana, la mjasiriamali wa Kisafwa. Tupende Uzalendo.
mmmh!hivi lipo hili kampuni!!!siku nyingi hata barabarani silioni!!Scandinavia limetulia.