tunage
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 252
- 168
Habari wana JF mimi ni kijana wa kiume mwenye elimu ya form six with 4.0 GPA pia nasoma mwaka wa pili chuo cha usafirishaji,kutokana na majukumu ya kifamilia ninasoma masomo jioni ili asubuhi nitafute riziki
NAOMBA yeyote anayeweza nisaidia kazi ambayo ni kuanzia asubuhi mpaka sa 10 jioni nitashukuru
PIA NAFANYA KAZI ZIFUATAZO(NDANI YA DAR)
1.kama uko bize na unamzigo unataka upeleke mahali au ukaupokee nitume mimi nitakupelekea uaminifu ni 100% (nasomea usafirishaji usihofu)
2.Unawahi kazini na kuna kazi nyumbani naweza kuzifanya utaporudi mambo yamekaa sawa
3.unamgeni wako anatoka mkoa unakosa muda wakumpokea MIMI NIPO niagize nikampokee nitamfikisha nyumbani kwako bila shaka.
4.Shughuli zote za kiofisi zinazofaa kwamtu mwenye elimu yangu afanya hata kwakujitolea miezi 3 (maxmum)
UZOEFU
-Nishawahi fanya kazi ya muda Coca cola kama Marketing Team miezi miwili mkoani njombe
-TRA mbeya nilifanya field miezi 2
UJUZI MWINGINE
-utangazaji (kama upo facebook Search FACEBUKU TV utaona vipindi vyangu)
-photo editing
MAWASILIANO
0674179580
ASANTENI