Nitawezaje kuwa hacker

Nitawezaje kuwa hacker

mkuu naheshimu mawazo yako bt nakitumia coz nimeji register kwenye Microsoft computer training na mwezi December nafanya Microsoft certification exams ili kuwa verified na Microsoft kwenye nyanja ya information of technology bt naweza kuki scan chote nikaweka hapa jukwaani watu wakapata maujuzi mkuu

huyu hacker anataka kuscan hicho kitabu, aweke humu,.. Hajui ata mambo ya copyrights.
 
Mkuu mimi sielewi maana ya hacker !
lakini kwa maana uliyonipa naona unataka kunichanganya, ungefunguka zaidi.

kama unisoma vizuri nazungumzia professional hacker nikasema like me nikasema professional hacker ni mtu yeyote mwenye ujuzi wa kiwango cha juu ktk mifumo ya compture nikamtaja stive jobs, bill Gates ni ma professional hacker's professional (ethical) hackers they protect computer systems from dangerous intrusions professional (ethical) hackers are technically skilled in IT pros with strong desire to solve problems and prevent malicious hackers from causing demage to network system to be professionally (ethical) hacker you require motivation, dedication, initiative self education and formal training in hacking
 
huyu hacker anataka kuscan hicho kitabu, aweke humu,.. Hajui ata mambo ya copyrights.

haha hahaha mkuu ni kweli bt nilikuwa nataka kuwapa maujuzi wana jukwaa wenzangu bt c kesi tutajua cha kufanya kwa wana jukwaa waliopo dsm na wenye kukitaka ktabu
 
haha hahaha mkuu ni kweli bt nilikuwa nataka kuwapa maujuzi wana jukwaa wenzangu bt c kesi tutajua cha kufanya kwa wana jukwaa waliopo dsm na wenye kukitaka ktabu

sawa mkuu
 
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo

kitakufunza codes&tricts za hacking

kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat

kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora

kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus

Kinapatikanaje hiki kitabu online au madukani ?
 
Inabidi usome. There is no other option. Zipo free resources nyingi sana, na hardware required inategemeana na platform unayotaka kuhack into mfano 802.11 /WiFi, Bluetooth na ZigBee encryption, GSM hacking, Web Apps e.t.c. Ni lazima uijue platform hiyo husika vizuri kwanza kabla hujaweza kuhack otherwise utakuwa script kiddie. Kama utakuwa software hacker, lazima ujifunze programming to a very advanced level. Mfano ili uelewe the buffer overflow attack in C, lazima uijue C to a very low level.

There are many automated tools available but you are better off knowing the actual implementation.

Anyway, anza kwa kusoma vitabu vya Hacking Exposed series kama Hacking Exposed Web Applications, Hacking Exposed Wireless, Hacking Exposed Windows. Pia kuna 24 Deadly Sins of Software Security and the likes.

Acha kutumia Windows. Anza kuijua Linux.

Punguza mambo mengi, that is, KILL YOUR SOCIAL LIFE! Hacking is a lifestyle in itself

Hacking sio kipaji cha kuzaliwa directly lakini kuna baadhi ya traits mtu anazozaliwa nazo zinazomfanya kuwa hacker mzuri. Creativity, daring, cunningness, fast and logical thinking, focus and concentration ni baadhi ya traits ambazo zinamsupport mtu kuwa great hacker.
Mkuu, kwamfano nataka kuhack account ya Mr Invisible natakiwa nijue program gani? nataka ni hack official mails kama za organisation fulan natakiwa niwe na program gani? Nataka kuhack banking systems zinazotumiwa na mabenk nchini itanibidi niwe na hizo program kwanza? Nitaweza vipi kujua codes za system hizo kama mimi sio mmoja wa creators wake?
 
Last edited by a moderator:

Hata kama naijua, nikuambie jinsi ya kumuimpersonate Invisible ili niwe kwenye spotlight? Usisahau kuwa kuna sheria zimepitishwa...kuwa makini na matumizi ya knowledge utakayopata isije ikawa short lived.

Hilo swali ulilojiuliza ndilo swali la kwanza kabla ya hacking, tunaita Profiling. Lazima uinvest muda wa kutosha sana kuusoma mfumo unaotaka kuuhack. Hapo ndipo utaweza kudetermine tools na methods za kutumia.

Kujua code ya system fulani inatakiwa kwanza upate access ya code hiyo either raw au compiled. Kupata raw code ni rahisi kwa off-the-shelf software au open source yaani zile software zimenunuliwa au kudownloadiwa then wanazicustomize kwa matumizi yao. All you neef to do is acquire a copy, then read the software kwahiyo lazima uwe programmer.

On the other hand, kupata code ni ngumu sana kwa custom-written software na lazima tu utaipata illegaly. How? Depends on the system itself. Best case scenario, you gain your way into a remote machine that houses the code, launch a remote shell with required privileges and navigate to the directory that contains the software and perform a remote transfer of the files to your computer.

Ukiwa na the compiled software, depending on the platform you can decompile it and get human-readable code.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, kwamfano nataka kuhack account ya Mr Invisible natakiwa nijue program gani?
Fanya uchunguzi ili kutambua system ya account hiyo inatumia database ya aina gani, kama ni RDBMS (Oracle ,mysql,sqlite,sybase,microsoft acess etc ) anza kujifunza SQL in general kisha hamia kwenye database husika.
nataka ni hack official mails kama za organisation fulan natakiwa niwe na program gani?
chunguza ili kutambua hiyo mail site imeandikwa kwa language gani , kama uzijui anza kujifunza hizo language, pia tambua database wamayotumia
Nataka kuhack banking systems zinazotumiwa na mabenk nchini itanibidi niwe na hizo program kwanza? Nitaweza vipi kujua codes za system hizo kama mimi sio mmoja wa creators wake?
chunguza language ya web site yao, banking system nying wanatumia Oracle Database, pia kuwa member wa bank hiyo. jiunge na online banking yao kisha chunguza njinsi transaction zinavyofanyik
 
Last edited by a moderator:
KisomaX
you're here to insult him or to help him copping the situation ?
If you've nothing to say sometimes it's better to shut up the fucking mouth bro.

i bet for it, you're not serious, i don't know you like that, actually maybe you've pissed with too much alcohol today, coz your comments gives me eyes cancer.

..and you had to reply in english,, seriously??
 
Fanya uchunguzi ili kutambua system ya account hiyo inatumia database ya aina gani, kama ni RDBMS (Oracle ,mysql,sqlite,sybase,microsoft acess etc ) anza kujifunza SQL in general kisha hamia kwenye database husika.

chunguza ili kutambua hiyo mail site imeandikwa kwa language gani , kama uzijui anza kujifunza hizo language, pia tambua database wamayotumia

chunguza language ya web site yao, banking system nying wanatumia Oracle Database, pia kuwa member wa bank hiyo. jiunge na online banking yao kisha chunguza njinsi transaction zinavyofanyik

Very abstract explanations.

Kujua JF inatumia DBMS ipi na kujua SQL ni a very minute part of the cake. You wont even be able to execute queries without knowing their database and table structure na credentials za kuaccess database husika. Ila kwa kuwa JF ni off-the-shelf software, kama kina Invisible wamefanya kosa la kutumia default configurations na table na field names kama zinavyokuja na vBulletin then you have a starting point. Nimemtag ili kama ni kweli basi waliangalie hilo kwa usalama wetu sote.

Ila kwa kuwa jamaa anataka kulog in kama Invisible, kwanini ahangaike kwenda kwenye database ambapo hatopata anachotaka wakati he can get what he needs from the application layer itself?

The question is, how do you gain access? How do we fool JF to believe that this is Invisible who is logging in? Ethical Ninja CEH, snipa hivi mshawahi kufanya ka profilling ka JF au kuisoma vbulletin?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?

simple!
unahitaji kujua computer halafu uwe na muda wa kutosha kisha uwe na kifurushi cha kutosha then ingia google andika au type hii sentensi: "how to become a hacker" au "how to become a hacker step by step" baada ya miezi miwili ya kusoma maelezo utakayo pewa utaweza kufanya elementary hacking. alternatively nenda training inayoitwa Ethical Hacking then utachagua kama uwe mtaalam wa kuwakamata hackers up ate pesa au uwe jambaziwa mtandaoni. kazi kwako!
 
hahahahahahahah nw tumetoka in professional way tunafanya copy& paste ktk Google mh I have to go
 
kama unisoma vizuri nazungumzia professional hacker nikasema like me

I never met a really hacker who called himself like that.
but i just tend to meet with idi0t kids who passionate on it and trying to call themselves hackers.

Am going to drop you on that group but am sorry.

nikasema professional hacker ni mtu yeyote mwenye ujuzi wa kiwango cha juu ktk mifumo ya compture nikamtaja stive jobs, bill Gates ni ma professional hacker's professional (ethical) hackers they protect computer systems from dangerous intrusions professional (ethical) hackers are technically skilled in IT pros with strong desire to solve problems and prevent malicious hackers from causing demage to network system

Jobs alijulia wapi Programming ?
hebu acha utoto we're not under ten ish.
 
I never met a really hacker who called himself like that.
but i just tend to meet with idi0t kids who passionate on it and trying to call themselves hackers.

Am going to drop you on that group but am sorry.

Jobs alijulia wapi Programming ?
hebu acha utoto we're not under ten ish.

myb unakata kubishana na kuonekana unajua zaidi bt nikwambie k2 real professional huwa awashindani kitoto like that wanashindana in professional way and am in that side so I don't want to waste my time en energy with you am done with you . eti unasema stive jobs c programmer then umeuliza swali nimekujibu in professional way kumbe unataka ubishani dah men try to be in professional way mzee
 
The question is, how do you gain access? How do we fool JF to believe that this is Invisible who is logging in? Ethical Ninja CEH, snipa hivi mshawahi kufanya ka profilling ka JF au kuisoma vbulletin?

vBulletin 4.x.x zinasuffer sana from sQL-injection.
Tatizo la vbt mostly kupata some bugs inakuaga ngumu kwasabu of being non open source, though ni hackable.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?

Kuna kozi inaitwa Certified Ethical Hacker(CEH), google upate maelezo zaidi on how to become a hacker
 
myb unakata kubishana na kuonekana unajua zaidi bt nikwambie k2 real professional huwa awashindani kitoto like that wanashindana in professional way and am in that side so I don't want to waste my time en energy with you am done with you .

Mkuu usipende kuwatisha watu na maneno unayoyapata google.
Ungenijibu Jobs alisomea wapi programming ningekuelewa, ila sio kama unavyo/ulivyodanganya watu hapa.

Mi sina profession yeyote ile.
lakini nachukizwa na wale wanaodai kuwa ni hackers wakati ukiwaangalia kwa jicho latatu utaona what is behind the scene.
My self mtu akinitambulisha kwa watu kwamba am a hacker siwezi bisha kwasabu kasema alichokiona,
ila ukiniuliza kama mm ni hacker ntakwambia NO, am just a computer nerd who waste time on reading and practicing different things.
 
hah kumbe unataka kujua stive kasoma wapi? ndo lilikuwa swali lako? rudi kasome post zangu then angalia kama cjakujibu swali lako now umeamia kwa stive jobs ? swala la kusoma hata bill gates ali drop college kuna mtu kama wewe alishawai kumuhuliza mwenyewe swali kwenye debate silicon valley are you a progrmmer? yeye akamjibu hivi I did all of apple my self including the feature choices it's in handwriting as I couldn't afford an assemble the person who help write some of the apple code was Allen baum kingine hapa tupo kubadilishana ujuzi na kushauliana atupo kushindana umeuliza swali why nimejiita professional (ethical) hacker nimekujibu now umeamia kwa stive jobs soma post yang ya Kwanza then unambie Google things viko wapi hapo?
 
Back
Top Bottom