JF sio sehemu ya kuomba ushauri kabisa. Nilijua nini kitatokea ktk hii thread. Toka jana.... Watu wanabishana uongo. Watu wanataka wajione ma -pro... Wanadharau mawaZo ya wengine. Sio siri watu wanatoka mapovu sana humu....
Rapha i hope umejionea ujinga uliopo ktk hii thread. Kama una "eagle eye" i hope ushaona ujinga na upuuzi humu wa baadhi ya watu wachache... Ni zaidi ya ule niliomaanisha jana.
Humu ni "where we dare to lie openly"
Thanks in advance.
KisomaX
Watoto wakike hupenda sana kuweka vitu moyoni, na hata kama mwenzie anapotea yuko radhi amwache apotee kuiko kumpa njia sahihi yakwenda/kufanya ili asiweze kupotea.
Huwa inasikitisha sana kuona mwanaume nae akifanya tabia kama hii ya wanawake, yaani kuona kabisa mwenzake anapotea or anakosea lakini hataki kumwambia.
Sababu hasa huwa nashindwa kuelewa, kwamba ni chuki binafsi au ni uoga,
na kama ni uoga then why mtu ajiite mwanaume kama atakuwa ni muoga ?
na kama ni chuki basi kwanini tuishi kwa chuki ?
Mnaposema watu humu wanadanganya na hamsemi ni wapi walipodanganya huo unakuwa ni upuuzi, tena hasa ni pale unapotaka kusema mtu kadanganya while huujui ukweli na ata ukiambiwa useme huwezi, ni zaidi ya upuuzi.
tusipende tu kutaka kuonekana kwamba you also concerned with tha ongoing issue,
Sometimes huwa najaribu kuji underate ili niweze kuendana na baadhi ya watu kutokana na kile wanachokigusia while in real sence not, ila ilimradi tu niweze cop the situation,
i tend to judge anyone by what he say and think lakini kwasabu ye ni nani or he doing what, this will never happen, may be to another snipa.
Mi naonekana napenda sana malumbano na watu, i know that kwamba most entitle snipa like that, lakini hii inatokana tu nakujaribu kusema ninachokifahamu nakukijua kwamba ni right pale tu mtu atakapo kosea.
Sina chuki na mtu yeyote na wala sipendi chuki lakini my behavior isn't like snake skin siezi kuivua, that means siwezi kukuacha upotoshe watu bila kukwambia ninachokiona ni right.
Sipendi chuki na watu ndomana kuna recently days two/three weeks ago nilipoona people d'been blackened their eyes to engage in trouble with me, tena niliowaheshimu kabisa niliomba ID yangu ifutwe kwa invisible + moderator na wote nikaona kimya, sikuweza elewa ni kwanini.
na yet kuamua kwamba usiingie tu JF while you're being notified someone mention or quote you ni piss of sht.
For what mtu unachokipata JF kwamba uwe tu mtu wamalumbano na watu ?
always you see help help help me snipa help me help please hakuna faida yeyote unayoipata zaidi yakuwa knownable tu while you just loose much time on it, siitumii JF kuingiza pesa, na hainipi pesa as just like remaining maskini mwenye jina kubwa tu.
We've family, fiancee's and friends to spend with, being online in jf isn't an addiction like others ni just for having curiosity of helping others, ningekuwa verified/sipendi kuwa anon sawa ningeweza kuwa na rage of friends lakini kwasabu ndo hivi i've been masked unakuta mtu wako wakaribu kabisa unamjua on JF yet unamwacha tu.
lakini nafanya hivi kwasabu tu ya kujidefend myself, someone angejua who's really snipa angeshangaa tu.
Sipendi chuki na watu my mother has taught me to be a good person on cyber space.
SOME DAY IT WILL ALL COME TO AN END.