Nitawezaje kuwa hacker

Nitawezaje kuwa hacker

Njia tatu zakuanza ili uje kuwa hacker ni hizi.

1- Soma Programming languages.
2- Soma Programming languages.
3- Soma programming languages.
hahahaha bro umenikumbusha mbali wakati mwalimu wangu ananifundisha hacking aliniambia if you want to be a hacker or you a hacker there iz three rules you need to follow 1.Dont talk about hacking club 2.Dont talk about hacking club 3.Dont talk about hacking club
 
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo

kitakufunza codes&tricts za hacking

kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat

kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora

kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus

heshima kwako mkuu,

Hapo kwenye red, please naomba nije PM unieleweshe on some basics kuhusu area hiyo. Kuna kitu nahitaji kujua kaka.
 
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE

Very amusing to see someone call himself a hacker !
 
heshima kwako mkuu,

Hapo kwenye red, please naomba nije PM unieleweshe on some basics kuhusu area hiyo. Kuna kitu nahitaji kujua kaka.

pouwa mkuu bt kuna kitu kwenye computer kinaitwa cmd nadhani mkuu chief mkwawa anaweza kujua kwa kutumia cmd you can run every thing from there even to control other computer using cmd tricks&codes
 
Very amusing to see someone call himself a hacker !

mkuu kwan unajua nini maana ya hacker ? mtu yeyote mwenye ujuzi wa kiwango cha juu cha comp tech ni hacker mfano bill Gates, stive jobs, ni ma professional hacker's uwezi kujua cyber threat or cyber security bila kujua mbinu za hacking . hapa nazungumzia reverse engineering
 
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo

kitakufunza codes&tricts za hacking

kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat

kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora

kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus
Heshima kwako mkuu, hicho kitabu softcopy yake ipo?
 
hata mtaani unaweza kujifundisha, ila sio kitu cha kujua wiki moja au mwezi itabidi uvumilie miaka wakati unajifunza. kuna youtube, kuna material mengi tu. hakikisha tu unapata internet na computer nzuri. anza kujifunza vitu vidogo na basics za software na website.

Chief-Mkwawa computer ya kujifunzia inatakiwa iwe na specs zipi (nipo tayari kuipata kwa gharama yoyote)
 
Last edited by a moderator:
mimi nililetewa kutoka us bt kwenye amazon kinauzwa $12.86 Rapha
 
Last edited by a moderator:
wanasema you cant run away from technology, mahacker wakali walioweza kuhack institution nying za usa pamoja na pentagon mmoja wapo ni gary mckinnon aliyesema lengo lake ilikuwa ni kuprove uwepo aliens na anadai aliweza kuprove kutokana na information alizopata, ila alikamatwa wakajua alipofanyia hyo kitu, sidhani kama ni wazo zuri ingawa kwa tz huenda ata usikamatwe, ila ninachojua unaweza kusoma computer science bado usiweze, akina bill gates walianza kufanya coding bado wapo high school na wakaweza kuzisoma code za magemu ata wakawa wanashinda tu game hzo, utundu ndo kila kitu, na kuhack ni hatari na sio rahis ni hesabu.
 
izzo tunaweza kufanya business?
 
Mkuu, unamaananisha Hacking ni kipaji cha kuzaliwa? kama football?
 
izzo tunaweza kufanya business?

mkuu naheshimu mawazo yako bt nakitumia coz nimeji register kwenye Microsoft computer training na mwezi December nafanya Microsoft certification exams ili kuwa verified na Microsoft kwenye nyanja ya information of technology bt naweza kuki scan chote nikaweka hapa jukwaani watu wakapata maujuzi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa mkuu!
Nawezaje kuupata huo ujuzi 'mtaani'
Inabidi usome. There is no other option. Zipo free resources nyingi sana, na hardware required inategemeana na platform unayotaka kuhack into mfano 802.11 /WiFi, Bluetooth na ZigBee encryption, GSM hacking, Web Apps e.t.c. Ni lazima uijue platform hiyo husika vizuri kwanza kabla hujaweza kuhack otherwise utakuwa script kiddie. Kama utakuwa software hacker, lazima ujifunze programming to a very advanced level. Mfano ili uelewe the buffer overflow attack in C, lazima uijue C to a very low level.

There are many automated tools available but you are better off knowing the actual implementation.

Anyway, anza kwa kusoma vitabu vya Hacking Exposed series kama Hacking Exposed Web Applications, Hacking Exposed Wireless, Hacking Exposed Windows. Pia kuna 24 Deadly Sins of Software Security and the likes.

Acha kutumia Windows. Anza kuijua Linux.

Punguza mambo mengi, that is, KILL YOUR SOCIAL LIFE! Hacking is a lifestyle in itself

Hacking sio kipaji cha kuzaliwa directly lakini kuna baadhi ya traits mtu anazozaliwa nazo zinazomfanya kuwa hacker mzuri. Creativity, daring, cunningness, fast and logical thinking, focus and concentration ni baadhi ya traits ambazo zinamsupport mtu kuwa great hacker.
 
mkuu kwan unajua nini maana ya hacker ? mtu yeyote mwenye ujuzi wa kiwango cha juu cha comp tech ni hacker mfano bill Gates, stive jobs, ni ma professional hacker's uwezi kujua cyber threat or cyber security bila kujua mbinu za hacking . hapa nazungumzia reverse engineering

Mkuu mimi sielewi maana ya hacker !
lakini kwa maana uliyonipa naona unataka kunichanganya, ungefunguka zaidi.
 
Wakuu,

Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?

Want to become Hacker,How Curious Are You????
 
Back
Top Bottom