Dunia sasa hivi imeenda digital (AI) hivyo naomba tupeane michongo ya jinsi ya kutengeneza hela ndogo ndogo online (genuine website); BILA kujumuisha betting
Hata ukiwa na mchongo tofauti ila unao uelewa vizuri sio ule wa kusema tu; nenda kalime matikiti/ Nyanya wakati hata mahindi hujawahi kulima...
Hapa nimelenga fresh graduate hivyo naongelea kazi zinazohitaji brain ila kwa mtaji mdogo
Nakaribisha maoni please.....