Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana
Mkuu mbona kama ule wimbo wa lavalava unaoimbwa "nibaki kongolo,nyama sina ni mifupa,naiona ndombolo" nikama unakuhusu kimtindo.Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana
Hvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana
Hata uliekaa naye dakika moja mkapeana huwezi msahau, so we achia tu usonge mbele ndio kusahau ukoHvi mtu mliekuwa naye kwa muda wa miaka 5 mkaachana ntawezaje kumsahau kabsaa? Najitahd lakn kuna muda nkikaa namkumbuka Sana