Nitawezaje kumsahau mtu niliyekaa nae zaidi ya miaka mitano

Wewe huwez pata ushauri kutokana na aina ya hitaji lako, huwez ukamsahau mtu yeyote uliyeish nae kwa ukaribu, ukisahau sura utakumbuka matendo, na kusahau matendo hasa ya kuumiza inakua ngumu zaid ambapo moyo nao utahusika kuliko kusahau sura ambako kunahusisha ubungo,
swala ni kwamba je unapomkumbuka yeye au matendo je ni hisia gani unapata? ulichopaswa kuuliza ni namna ya kuondokana na maumivu pale unapomkumbuka, ambapo mimi binafsi naamin pamoja na njia nying utakazo shauriwa mda nao unahtajika, kuna mda utapita tu na taratbu maumivu ya unapomkumbuka yataanza kupungua yenyewe mpaka inafkia hatua unamkumbuka unakumbuka na matendo ila moya hauumii japo unaweza ukajiwa na chuki au hasira.

Tusidanganyane hapa et unaweza msahau mtu uliyeish nae kwa ukaribu ndani ya wiki, sema unaweza ukatafta njia mbadala za kumpotezea ila kumsaha labda kama una ugonjwa wa kusahau.
 
Fanya hivi....

Fikiria kila lililo baya kwake.

Kwa mfano, waza jinsi mdomo wake unavyonuka asubuhi...

Fikiria jinsi ushuzi wake ulivyo na harufu mbaya....

Fikiria jinsi kwapa lake lilivyo chafu...

Fikiria jinsi ambavyo chupi zake zina madoadoa ile sehemu inapokaa il nana...

Fikiria jinsi nywele zake za pua zilivyo nyingi kama babu wa Unguja...

Ukifikiria yote hayo kuhusu yeye lazima utamsahau tu.

Teh teh....damn! I'm so bad it ain't even funny.

I'm definitely going to he'll in a handbasket for this one.
hahaha
 
Back
Top Bottom