Sasa na wewe unalalaje kitanda kimoja na wanandoa?? Waachie kitanda wewe lala sebuleni
Lakini nao wana set nzima ya makochi na tumezibebanisha pamoja hivyo hata kulala humo ni kazi ndo maana nashindwa kufanya hivyo, nilitegemea labda mtanishauri vinginevyo. Sihitaji kummega huyu dada!
Si ulale hata chini...narudia tena kuuliza UTALALAJE NA WANANDOA KITANDA KIMOJA NA WEWE NI MTU MZIMA??Hapo siongelei kuibiana ila ile hali ya kwamba hujisikii vibaya?
Even worse...atalalaje na mke wa rafikiye kitanda kimoja?
Ikiwa hukukusudia kustarehesha ukumbi tu, una chumba na sebule. Tafuta nafasi sebuleni, panga pangua upate pa kujibanza hapo.Waheshimiwa habari zenu!
Nina jamaa yangu mmoja ambaye tumesoma wote chuo. Ameoa na kwa sasa ana mtoto m1. Kutokana na kupunguzwa kazini kwa sasa anahangaika kutafuta kazi mikoani. Kodi ya Chumba chake cha hapa dar imekwisha tangu January na mwenye nyumba kawavumilia kashindwa, anawafukuza. Jamaa kwa kuzingatia mahusiano yetu ameniomba nikae nae kwa muda kwa vile mimi nimepanga chumba na sebule. Nilisita lakini baada ya jamaa kunibembeleza sana sikuwa na namna kwa vile lilikuwa ni suala la muda tu. Alipokuja yule dada kwa kweli niliona vyumba vimefurika balaa yaani hata kupita taabu achilia kulala na kupika. Kutokana na hali hiyo imetulazimu tutumie kitanda ki1 ambacho ni 6kwa6 ili angalau nafasi ibaki kwa matumizi mengine. Taabu ninayopata hasa usiku kwa kweli shahidi ni malaika; halafu mdada ni mlala hovyo. Siku tatu zimeshapita ndani ya majalibu, nifanyeje jamani na hawana ndugu hapa jijini kwao Songea? Shida si kula ila ulijali ndo kikwazo!
Waheshimiwa habari zenu!

cjaelewa unamaana gan au we n agent wa sodoma n gomolrahFanya hima uende ukamwokoe. Ameanzisha hii sredi kusisitiza kuwa anakuhitaji kuliko mahitaji. Kwenye 6x6 wanaume watapeana makalio pale kati na wakike mtakuwa pembezoni.
Waheshimiwa habari zenu!
Nina jamaa yangu mmoja ambaye tumesoma wote chuo. Ameoa na kwa sasa ana mtoto m1. Kutokana na kupunguzwa kazini kwa sasa anahangaika kutafuta kazi mikoani. Kodi ya Chumba chake cha hapa dar imekwisha tangu January na mwenye nyumba kawavumilia kashindwa, anawafukuza. Jamaa kwa kuzingatia mahusiano yetu ameniomba nikae nae kwa muda kwa vile mimi nimepanga chumba na sebule. Nilisita lakini baada ya jamaa kunibembeleza sana sikuwa na namna kwa vile lilikuwa ni suala la muda tu. Alipokuja yule dada kwa kweli niliona vyumba vimefurika balaa yaani hata kupita taabu achilia kulala na kupika. Kutokana na hali hiyo imetulazimu tutumie kitanda ki1 ambacho ni 6kwa6 ili angalau nafasi ibaki kwa matumizi mengine. Taabu ninayopata hasa usiku kwa kweli shahidi ni malaika; halafu mdada ni mlala hovyo. Siku tatu zimeshapita ndani ya majalibu, nifanyeje jamani na hawana ndugu hapa jijini kwao Songea? Shida si kula ila ulijali ndo kikwazo!
Lala kwenye kochi/sofa!Mtu mzima utalalaje na wanandoa kitanda kimoja?
Wote wawili hamjaelewa,mwenye mke yuko mikoani anatafuta kazi na huyu mharibifu kaja na mbinu eti hamna nafasi ya vitu kwahiyo yeye na mke wa rafiki walale kitanda 1 na anadai eti analala kihasara.Mila gani inamruhusu kulala kitanda 1 na mke wa mtu ???Sasa na wewe unalalaje kitanda kimoja na wanandoa?? Waachie kitanda wewe lala sebuleni