Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

Yaani Sina hamu nae tena.
Unadhani ukifungua biashara kimya kimya bila mkeo utakuwa umepata suluhu ya kudumu?

Hao utakaowaajiri watakuwa na huruma na biashara zako?

Ikitokea (hatuombei) umepata tatizo, iwe kuhamishwa kikazi, kuumwa, kupata ajali au kufariki, hizo biashara unazotaka kuficha zitasaidia watoto zako achilia mbali mkeo!?


Suluhu ni mbili tu mkuu

Kuongea nae umuhimu wa biashara kwa faida yake na familia, kumfunza na kumshirikisha. Akikubali na akaelekea Basi kwa kuanzia majukumu makubwa makubwa uwe unamshirikisha yatoke dukani (hapa wewe jifunze kulia Hali ngumu pesa hifadhi bank ili uone uelekeo)

Ikishindikana Sasa

AENDE KWA AMANI

Mtu mmoja asifanye maisha ya familia nzima yawe magumu
 
Sijui tatizo nn mara nyingi mwanaume ukiwa mstaarabu mwanamke.kichomi hivohivo mwanamke makini anaangukia pabaya kunawanawake humu wameolewa na wanaume wahovyo akisoma uzi huu anaishia kusonya tu ushauli wangu mtu wahivi hafai utafanyaje biashara kwasiri kama unauza bange kwanza watu kama hawa mda wote nikukuibia apeleke kwao angalia kama unaweza kukaa mbali nayy.kwaonyo mrudishe kwao utateseka sana najua yako mengi kati yahaya machache umetwambia pole ndugu
 
Huyo sio mke bali ni tarumbeta
 
Alikuvutia nini mpaka ukamwoa?

Hamkupitia kipindi cha mpito kuelekea kwenye ndoa?

Pole kamanda
 
Japo hii comment yangu..haitokua na msaada kabisa.. ila Bora tu niseme

MIMI SIJUI kwakweli
 

Mwanzoni kabla ya kumuoa alikuaje? Ikiukweli usingepaswa kumuoa huyo Mwanamke

Ndio nakuambia sasa.
 
Naona shida hapa ni huyo mwanamke amekutawala ungekua na sauti unampiga marufuku kukanyaka dukani

Hakuna ambacho ungeshindwa wewe ni mwaname ndie mwenye uamuzi akikataa unampiga biti hata kwenda kukaa kwao kidogo akili imkae sawa nadhani ataanza kuheahimu maneno yako
 
Nilishakwambia msioe ila HAMSIKII.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…