MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Love in Goa.......!!!Kwa hiyo tatizo lako ni utamuanza vipi . .???oooooh okey ndo maana nimekwambia wee anza kuwa na URAFIKI nae then jua anapenda nini .. cha msingi lazima uwe na sababu ya kuzoeana nae labda kama baa medi maana akilewa tu umemchukua ila kwa aliye na msimamo wake ni lazima ujue ni jinsi gani unaweza kumzoea.. Cha muhimu weka mazingira ya kumzoea