Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Hi JF bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu ya kila siku.
Leo napenda kuuliza swali hili kama utakuwa na jibu naomba utiririke hapo kwenye comment.
Mimi huwa naogopa sana kutongoza hawa wanawake warembo sababu huwa nasikia ukimutaka lazima mfukoni uwe umekamilika.
Nilikuwa nataka mnipe njia nyingine tofauti nitakayoitumia ili kumpata mtoto mrembo.
NB: Kama huna mchango wowote pita mbele wachangie wengine.