Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

Nilikua na hii mind set nikikosa pesa nahangaka kama mbwa koko, ilinifanya nikaingia kwenye madeni mengi sana.
Sa hivi na relax mradi niwe na mahitaji muhimu basi!
Mkuu kidawa92 Unafeli.
Una relax kwa hela ya mahitaji!! Usikope kope, usidhulumu wala kuibia mtu lakini pambana mpaka kieleweke.
Hakuna furaha bila pesa.
 
Hospitali wanataka pesa, shule wanataka pesa, mchungaji anataka pesa, wife anataka pesa, wazazi wanataka pesa, msikitini inatakiwa hela ya kuboresha vyoo nk.
Jamani lazima tuwe na pesa.
Tutumie raslimali zetu za kiafya na za nchi kupata pesa.
 
Umeongea vizuri kwa kukuongezea tu hakikisha pesa uliyonayo ipo mfumo wa cash sio asset

Mimi piga ua garagaza nitahakikisha nipo na cash ya kutosha hata nikisikia kitu kinauzwa bei chee kiasi gani lazima nikeep cash kwani jinsi unavyokuwa na cash ndio unavyozidi kuona vitu ni bei rahisi ila ukikosa cash ndio utaja kugundua kumbe ulikuwa unapigwa parefu
 
Back
Top Bottom