Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

Nitavumilia yote, lakini sio kukaa bila hela

Nilikua na hii mind set nikikosa pesa nahangaka kama mbwa koko, ilinifanya nikaingia kwenye madeni mengi sana.
Sa hivi na relax mradi niwe na mahitaji muhimu basi!
Mkuu hapa umeongea point sana hii pia ili nikutaga nilikuwa mtu wamisifa kugawa offer sana nakaingia kwenye madeni ili niweze kumaintain ila now najiangalia nikiwa na mahitaji yangu muhimu na pesa iwe kidogo sana bas sijipi strees kwenda speed kiivyo kama deal bado najua bado
 
Usije tuu ukajinyonga bwashe.. hela waga inasaliti watu.
Unaweza kudhani utakuwa nayo soku zote, ikakusaliti ukapauka kama mhogo. 😁
Ndio maana watu wengi waliozowea pesa siku pesa ikiwasaliti/ kukata wanajiua, kudata, kuingia kwenye uraibu wa madawa. Pesa ina mambo bwamdogo. Pesa haina fundi.
Na mara nyingi watu wenye mawazo kama ya mtoa mada hapo baadae huwaza kujiingiza kwenye utafutaji haramu wa pesa kama utapeli,ujambazi,ushirikina/freemason ili mradi alazimishe kuwa na pesa.
Hii ni kwa sababu pesa kwa njia ya halali haijawahi kuwa rahisi na hauna uwezo wa kuicontrol unavyotaka wewe ila yenyewe ndio inakucontrol wewe na ndio maana hata walimu wa biashara vyuoni ni maskini,walimu wa utunzaji wa pesa ni maskini,walimu wa mambo ya bima au mambo ya hisa pia ni maskini.
 
Acha kupotoka kijana, pesa inahitaji maarifa mengi, huko kwenye deal haramu siwezi kuingia kamwe, Mungu amenibariki napata pesa kihalali nazidi kuongeza stream zakuingiza zaidi na zaidi
 
Acha kupotoka kijana, pesa inahitaji maarifa mengi, huko kwenye deal haramu siwezi kuingia kamwe, Mungu amenibariki napata pesa kihalali nazidi kuongeza stream zakuingiza zaidi na zaidi
Mimi sio kijana kama unavyodhani ni mtu nimepitia kwenye mikikimikiki ya kila aina ya utafutaji pesa na kufanya personal research kuhusu uhusiano kati ya kutajirika na utafutaji wa halali.
Kuna mambo mengi sana yako nyuma ya pazia ambayo bado wewe hujayajua.
 
Hakuna fedheha mbaya kama kukosa hela,binafsi hata mboo huwa haisimami
Demu akikukuta katika hali hiyo anaanza kuhadithia wenzake kwamba mchizi hana nguvu za kiume

Kumbe ishu ni mashuka ya kimasai yamekosekana kwenye wallet.
 
Ulivyoandika ni kama vile umasikini ni matokeo ya uchaguzi wa mtu.

Hakuna mtu asiyependa kuwa na hela ila wakati mwingine maisha yanaweza yasikupe unachotaka licha ya juhudi.
Wewe ndo umetafsiri hivo, ila mimi lengo ni kuwaamsha walio lala waendelee kupigana haijalishi matokeo yatakuaje...
 
Wewe ndo umetafsiri hivo, ila mimi lengo ni kuwaamsha walio lala waendelee kupigana haijalishi matokeo yatakuaje...
Ni jambo jema kuhamasishana.

Ila tukiongea ukweli siku hizi juhudi zinaenda na connection pamoja na bahati.

Kwenye mafanikio ya kimaisha mimi naamini kuwa nowadays bahati ina play role kubwa kabla ya juhudi

Ushawahi kujiuliza waliofanikiwa kimaisha kupitia juhudi zao je, wakinyang’anywa mali zote walizozipata na kugawiwa kwa mtu mwingine asiye na kitu, kisha wakaambiwa waanze tena upya kutoka sifuri, wangeweza kweli kufikia tena yale mafanikio makubwa waliyokuwa nayo kabla ya kupokonywa?
 
Mimi sio kijana kama unavyodhani ni mtu nimepitia kwenye mikikimikiki ya kila aina ya utafutaji pesa na kufanya personal research kuhusu uhusiano kati ya kutajirika na utafutaji wa halali.
Kuna mambo mengi sana yako nyuma ya pazia ambayo bado wewe hujayajua.
Tupe experience mkuu
 
Tupe experience mkuu
Kwa kifupi iko hivi mtu anaweza akawa ameanzisha biashara yake ya halali kabisa na analipia kodi(imesajiliwa) lakini ndani ya mchakato wa hiyo biashara inavyofanyika ndio kunakuwa na mambo haramu kama dhulma,magendo,kuuza mzigo feki au vibovu ili kupata faida ya haraka sasa muunganiko wa haya yote ndio unaona mtu ametajirika sasa wasiojua utakuta wanasimuliana biashara ya nguo au ya perfume inalipa sana umeona fulani kaanzisha ndani ya mwaka tu ametajirika.
 
Back
Top Bottom