Mkuu anageuka mwizi wakati umemshawishi mwenyewe..!!?? Tuwe wakweli pesa inahitaji umakini mkubwa ndo maana unaona jinsi inavyotunzwa huko bank inakohifadhiwa. Maskini wengi hatuna mfumo mzuri wa kuheshimu pesa. Ndo maana ni lahisi sana kukuta elf 10 anachezea mtoto wa masikini sebuni lkn huwezi kuona hata Tsh.100 nyumbani kwa tajiri..!! Tajiri anafikia mafanikio kutokana na kuheshimu pesa...!!Hamna tofauti. Tofauti ni kuokota hela hiyo na kuzitumia ilhali ukijua si zako na ukimjua mwenyewe, na mwenyewe kukuomba uzirudishe na wewe kugoma. Hapo unageuka kuwa Mwizi .
Kwa hiyo wewe unafikiri mtu akiwa mbele yako akidondosha fedha na wewe ukiziokota na kukimbia huna hatia? Ni zako? Huwa ni wizi kama wizi mwingine!Hivi kukosea kutuma hela unatofautisha vp na kudondosha hela!!?
Mnapenda kukariri sna,Wewe ndo hufikiri. Mwambie basi Venance aende mahakamani.
Sijamshawishi. Kwani nimemtumia hiyo hela kwa kukusudia?Mkuu anageuka mwizi wakati umemshawishi mwenyewe..!!?? !
Umeishiwa hoja.Mnapenda kukariri sna,
Hadi naweka picha yake hapa, sikua nikifanya kubahatisha kwasababu tayari nilichukua tahadhari zote pamoja na kujiridhisha, pia nilipata baadhi ya vielelezo visivyo na shaka.Mkuu what if picha iliyopo sio ya muhusika?? Nadhani unaweza kuwa shaidi wa zoezi la usajili wa line za simu ulivyokuwa ukifanyika. Watu walikuwa wanatumia hata vitambulisho vya watu wengine ili waweze kusajiliwa.
Mwizi wapi wakati yeye kaokota?Kiufupi huna kesi hapo ndio maana unaishia kulalama kwenye mitandao kenge wewe!You are fuckn idiot! Unajua maana ya mwizi ni nini?
Ingekua pesa kidogo, kwanza nisinge hangaika kutangaza zawadi ya 200,000WENGINE ILISHATUTOKEA NA TUKAAACHNA NAYO, MM NILITUMA FEDHA KWA TIGO, MTU KAITOA FASTA. KURUDISHA FEDHA MAISHA HAYA
Wewe ndie uliyeishiwa hoja, unalosokalosoka pasipo kujua muktadhali wa kitu,Umeishiwa hoja.
Nipo njia pandaMkuu anageuka mwizi wakati umemshawishi mwenyewe..!!?? Tuwe wakweli pesa inahitaji umakini mkubwa ndo maana unaona jinsi inavyotunzwa huko bank inakohifadhiwa. Maskini wengi hatuna mfumo mzuri wa kuheshimu pesa. Ndo maana ni lahisi sana kukuta elf 10 anachezea mtoto wa masikini sebuni lkn huwezi kuona hata Tsh.100 nyumbani kwa tajiri..!! Tajiri anafikia mafanikio kutokana na kuheshimu pesa...!!
Potelea mbali mkuu! Wacha niwe kenge kabisa kama kujua sheria ndio ukenge wenyewe! Kwenye sheria unajua kitu kinachoitwa theft by finding? Tuache ligi za kitoto!Mwizi wapi wakati yeye kaokota?Kiufupi huna kesi hapo ndio maana unaishia kulalama kwenye mitandao kenge wewe!
We hesabu maumivu,kosea tena ije kwangu uone kama utaipata!Potelea mbali mkuu! Wacha niwe kenge kabisa kama kujua sheria ndio ukenge wenyewe! Kwenye sheria unajua kitu kinachoitwa theft by finding? Tuache ligi za kitoto!