Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Good morning ladies and gents,
Wadau nilipata majanga ya kuibiwa TV, Friji na jiko siku kadhaa nyuma. Mimi ni mwajiriwa na kamshahara sio haba ila nikisema ninunue vitu vyote inakuwa ngumu, wapi naweza kupata mkopo wa kimoja wapo au vyote kati ya TV, Friji au jiko na nilipe kidogo kidogo kwa miezi kadhaa? hata mitatu au minne maximum.
Naweza kujichanga kidogokidogo ila najaribu kuona kama njia hiyo pia inawezekana maana shemeji/wifi yenu anaboreka sana hadi anataka kwenda kupumzika kijijini kwa muda ye na mtoto.
Asanteni