chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,575
Kwanza kabisa sijajua upo mko gani,ila kama upo Dar rs salaam fika Wizara ya mambo ya ndani Posta Ghana Street ikiwa ni siku za kazi,fika ukiwa nadhifu na mavazi ambayo yanaruhusiwa sehemu fika,yani usivae viatu vya wazi ambayo si vya kufunga nyuma,mfano wa ndala,usivae pensi,usivae nguo iliyochanwa chanwa,usivae nguo inayobana,or fupi,muonekano wa nywele uwe nadhifu,usivae mlegezo,taratibu nyengine utazipata ukishafika
Nb.
Usisahau kubeba hata passport size hata 3 kwa emergency,pia usisahau kitambulisho chako.
Nakutakia kila la kheri
Nb.
Usisahau kubeba hata passport size hata 3 kwa emergency,pia usisahau kitambulisho chako.
Nakutakia kila la kheri