Nitapata wapi hati ya tabia Njema Police clearance Report

Nitapata wapi hati ya tabia Njema Police clearance Report

Kama upo dar es salaam fika Wizara ya mambo ya ndani Posta Ghana Street ukiwa umevaa nadhifu,kuanzia kichwani, usivae viatu vya wazi mfano wa ndala usivae pensi, usivae nguo inayobana,usivae singlend,fika siku ya kazi,usivae nguo iliyochanwa chanwa.

Nb
Usisahau kubeba passport size hata 3, kitambulisho chako

Mengine utafahamishwa utakapofika
Hiyo nimeilewa mkuu
 
poleni na majukumu Wana JF wenzangu binafsi nomba msaada namna ya kupata bank statement Ili niweze kusafiri kwenda china kwa masomo .
 
Back
Top Bottom