Nenda Central police iliyo karibu nawe utapata utaratibu mzima hasa ofisi ya OCD.Habari jf
Naomba kuuliza Nina shida na police clearance certificate! Je nitapata wapi kwa gharama ipi na inachukua muda gani??
Makao makuu ya police ndio pale Central au msaada jamani
Rushwa. Ukizingatia barabarani kumedoda hivyo nguvu imehamia huko.Nashukuru Sana!
Kabahasha ka Nini mkuu! Naomba unitoe tongotongo
We endelea kujitoa AKILI....Nashukuru Sana!
Kabahasha ka Nini mkuu! Naomba unitoe tongotongo
Central yoyote watakupa utaratibu.Sasa mkuu niende central kwa hapa Dar es salaam au niende wizara ya Mambo ya ndani?
Mfano wa wakati inapotakiwa ni iwapo unaomba kibali cha kumiliki silaha.Hiyo kitu unaitumia wapi ndgu??
Sawa Nashukuru SanaNenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
Inalipiwa buku jero au buku 2 tu!Nenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
Nenda mambo ya ndani,ila utaambiwa usubiri wiki mbili kuipata,kuna malipo kifogo.Sasa mkuu niende central kwa hapa Dar es salaam au niende wizara ya Mambo ya ndani?
Uko sahihi..lazima alama za vidole zipelekwe ili kujua hujapatikana na kosa la jinai. Majibu yakija unapata hiyo hati..Nenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
Sawasawa..Nenda mambo ya ndani,ila utaambiwa usubiri wiki mbili kuipata,kuna malipo kifogo.
Kama uliwahi kufanya msala acha tu utaletewa majibu positive
Kiuhalisia hizo alama za vidole zikishachukuliwa kwenye ofisa za upelelezi mikoani/ wilayani hupelekwa Dar kuchekiwa kwenye kanzidata ya alama za vidole. Iwapo hazijamatch na za mhalifu yeyote ndipo hati huandikwa na kupelekwa mkoani/wilayani ili apewe mhusika.Nenda kituo kikuu cha polisi utapata muongozo lkn kuna malipo ya serikali nadhani ni sh elf20 utaenda kwenye ofisi za afisa mpelelezi wa mkoa utachukuliwa alama za vidole then utapewa karatasi yako iliwekwa saini na uyo Afisa, nimeeleza kwa uelewa wangu mwingine anaweza kuongezea
Mkuu Kama unahitaji kwa haraka Kuna chochote kitu natakiwa kutoa?? Yani mkono wa nyuma.Inalipiwa buku jero au buku 2 tu!
Kwa Dar nenda Mambo ya Ndani pale karibu na Exim Bank na ONAMO hotel...
Hiyo buku jero au buku 2 iwe kwa simu ukipewa Control number unalipia.
Hapo Mambo ya ndani hicho kitengo kiko kule nyuma ya Ofisi kwenye yale Magofu magofu.
Hapo Sielewi sasa Nenda Jumatatu weekend hawafungui.Mkuu Kama unahitaji kwa haraka Kuna chochote kitu natakiwa kutoa?? Yani mkono wa nyuma.
Mana Ina haraka sanaa