Nitapata wapi butalex- dawa ya ndigana kali ya ng'ombe

Nitapata wapi butalex- dawa ya ndigana kali ya ng'ombe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,955
Reaction score
104,304
Tafadhali mwenye kuja naweza kupata wapi dawa hii BUTALEX anitaarifu tuwasiliane. !
Direct me to a shop where it is available! Kuna akina Butaline, parvoquone, etc but these are not original Butalex!
Wataalamu wa mifugo nisaidieni!
 
Mkuu Ni dawa ya Nini ?wafugaji tupo we ngi
 
Mkuu Ni dawa ya Nini ?wafugaji tupo we ngi
dawa ya ndigana kali- Thaileriosis . Ni dawa ya kutibu "malaria" kali ya ngombe. Ni dawa nzuri sana lakini nowadays haionekani hasa baada ya awamu hii kuingia madarakani
 
dawa ya ndigana kali- Thaileriosis . Ni dawa ya kutibu "malaria" kali ya ngombe. Ni dawa nzuri sana lakini nowadays haionekani hasa baada ya awamu hii kuingia madarakani
Sikuwahi kujua Kama ngombe anapatwa na malaria
 
Back
Top Bottom