Nitapata Lap top ya kiwango gani kwa pesa hii?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Natumai ni wazima wakuu, swali ni kama kichwa cha uzi kinavyoonekana hapo juu. Kiasi cha pesa ni laki 5, ningependa ushauri wa kitaalamu na si ushabiki wa makampuni,

Ni vema ukaichambua itaweza kua ya kiwango gani.
Ahsanteni
 
•Boom lishatoka?? Nipe 350,000/= nakuletea Dell D630.....
HDD-80GB
RAM-1GB
CPU-1.6GHZ(Duo Core)
 
hp 630
Ram 2gb
Hdd 320gb
Processor 2.1 ghz
Graphic memory 900 mb
Screen: 14 inches
 
Natumai ni wazima wakuu, swali ni kama kichwa cha uzi kinavyoonekana hapo juu. Kiasi cha pesa ni laki 5, ningependa ushauri wa kitaalamu na si ushabiki wa makampuni,

Ni vema ukaichambua itaweza kua ya kiwango gani.
Ahsanteni

Karibu Tech, Gadgets & Science Forum
kwanza unahitaji laptop mpya ama used??
kama ni mpya na ni kwa matumizi madogo madogo nakushauri nunua moja kati ya hizi.
1)Toshiba C850
37844_213354870124f99ea24a1ace13354973944f9a12b2ec1fc.jpg

INTEL DUO CORE 2.2 GHZ PROCESSOR,
2 GB RAM, 500 GB HARD DISK, DVDRW, CAMERA, MIC, BLUETOOTH,WIFI TECHNOLOGY, 15.6" SCREEN
2)Samsung Mini Net Book -NP-NC110
Samsung+N110+Netbook.jpg

Display 10.1”
ATOM 1.6Ghz processor
2 GB RAM
320GB HDD
6 Cell Battery, Blue tooth, Wi-Fi
Win 7 starter

Kwa haraka haraka ni hizo pia tembelea www.inaiuzwa.com na Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
utapata aina tofautitofauti
 
Karibu Tech, Gadgets & Science Forum
kwanza unahitaji laptop mpya ama used??
kama ni mpya na ni kwa matumizi madogo madogo nakushauri nunua moja kati ya hizi.
1)Toshiba C850

INTEL DUO CORE 2.2 GHZ PROCESSOR,
2 GB RAM, 500 GB HARD DISK, DVDRW, CAMERA, MIC, BLUETOOTH,WIFI TECHNOLOGY, 15.6" SCREEN
2)Samsung Mini Net Book -NP-NC110
np_nc110_p03ng__45164_thumb.jpg

Display 10.1”
ATOM 1.6Ghz processor
2 GB RAM
320GB HDD
6 Cell Battery, Blue tooth, Wi-Fi
Win 7 starter

Kwa haraka haraka ni hizo pia tembelea www.inaiuzwa.com na Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
utapata aina tofautitofauti

Ahsante kaka
 
Back
Top Bottom