Nitaoa mwanamke natural anayejitambua

Nitaoa mwanamke natural anayejitambua

Ila kujiremba kidogo si mbaya..tatizo wanawake wengi sikuhizi hatujirembi bali tunajibadilisha kabisaaa... Ndo utakuta michubuo,kope za bandia,kunyoa nyusi zote,lace wig,eye contact lens...mtu akiviweka vyote kwa pamoja unamsahau... Hiyo si nzuri..

Heart umezaliwa mzuri na mrembo unajiremba nini tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom