Nitamwambiaje mchumba wa zamani kuwa sitomuoa tena


Pearl Pole sana seems uliumizwa sana lakn thats life sometime it happens na kwasbb ambazo hazizuiliki
 
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!

Baadhi ya wanaume wana fuse zilizochomoka huko kichwani, sooooo soooo selfish yaani. You always think of pleasing yourself and never think of pleasing your mates. WTF.
 

aahh weeeeeeeee
ila ujue maombi ya mtu asiye haki ni chukizo kwa bwana alafu ww unajua kupangua maombi kweli ww
 
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu


unaelewa maana ya uchumba? hii ya kwenu ni u frnd wa kawaida tu.
 
Laussane ndugu yangu

Mbona hujatuambia hasa sababu yenye mashiko? kwa haraka haraka umesema

1. Sio wifey material
2. Yukonchi nyingene
3. Muda wake wa kurudi nyumbani bado (lakini nikajiuliza ni wapi huko wanakokataza mtu kurudi home kuja kufunga ndoa)

Ni kitu gani kinakushinda kumtembelea huko aliko mkakaa mkaongea kuliko kuishia kwenye simu tu na huku hujammega? au labda una wasi wasi kuwa huko aliko ana mwingine?

Ni nini kilisababisha hadi mkakata mawasiliano kwa muda wa miezi mitatu, au kwa vile ulishapata chombo kipya?

naona nina maswali mengi kuliko ushauri utanisamehe kwa hilo mkulu
 
wat do u mean hasie na haki?ukiwa na mchumba mtangulize Mungu ktk uchumba wenu,sasa kwann unasema hana haki huyu dada?mume wangu mume wangu!!!!!!!!!!!
aahh weeeeeeeee
ila ujue maombi ya mtu asiye haki ni chukizo kwa bwana alafu ww unajua kupangua maombi kweli ww
 

aaaaaaaaaaaah B mi mwenyewe nimeuliza ili nione mashiko jamaa naona ananipotezea mwishowe natumia emotion zaidi hapa....
 
wat do u mean sababu hazizuiliki? in ur post sijaona sababu sisizo zuilika zen badae utasema shetani tu alinipitia sijui kwann nyinyi hammpitii huyo shetani
Pearl Pole sana seems uliumizwa sana lakn thats life sometime it happens na kwasbb ambazo hazizuiliki
 

yes kweli ajibu haya maswali ya msingi kwanza nilitaka kuuliza hayo hayo
 
walikuwa na soft relationship so no maumivu

tatizo mi enaona bado huyu jamaa mwenyewe hajatupa mchanganuo dhahiri juu ya hili.
anatuweka kwenye hatari ya kutumia personal experience zaidi kumhukumu......shauri yake!!
 

kwenye ishu ya maumivu hawa watu hawana huruma kabisa....halafu anasema anakupenda!
 
wat do u mean sababu hazizuiliki? in ur post sijaona sababu sisizo zuilika zen badae utasema shetani tu alinipitia sijui kwann nyinyi hammpitii huyo shetani

hahaaaaaaaa lol!!

afadhali umenishusha hasira maana duh............
 
aaaaaaaaaaaah B mi mwenyewe nimeuliza ili nione mashiko jamaa naona ananipotezea mwishowe natumia emotion zaidi hapa....


Tulia B wala sikupe presha kabisa tunataka kumsaidia lakini na yeye atusaidie ili tumsaidie vizuri
 
Wewe hukujali unafiki wala kufikiria mwenzako atajisikia vipi ukafanya maamuzi eti kwa sababu wewe ni dume halafu unataka ushauri. we ngoja huyo uliyenae amegwe halafu uombe ushauri. Ninyi ndiyo mnaotuharibia matokeo yake kina mama wanatuona wot sh|:><?@!y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…