Nitakuwa natuma tu pesa za matumizi,kwasasa sihitaji kuoa ngoja nitulize akili kwanza panapo majaaliwa 2024 nitaoa.Sas ukimuachia kibanda atamlea vip watot na je huto oa tena
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapa umemuuliza swali zuri ...asimtaftie sababu mwenzie ili kuhalalisha dhambi yake huko alikokuaWewe huko ulipokua miezi yote 9 hujawahi kupiga nje? Au unamtafutia sababu tu? Usikute huko ulipokua umekamatika kwa nyumba ndogo sasa unataka kumuundia zengwe ili umpige chini..
Huwezi kumuacha mke ambaye ni kijana kwa miaka miwili mfululizo halafu utegemee akae tu hivi hv pasi na kuingiliwa!! Mwanamke uwezo wake wa kuvumilia ni miezi 4 hadi 5 tu. Zaidi ya hapo alitokea mwamba mwingine akitikisa tu kidogo beki zinaachia.Nimekupata Mkuu,ila wapo wanawake waaminifu hata miaka miwili anavumilia tu,ukiona mkeo hawezi kuvumilia miezi mitatu ujue hata ukiwepo anagawa.
Inawezekana usemayo ni ya kweli,ila ukweli zaidi wanaujua wenyeweHuwezi kumuacha mke ambaye ni kijana kwa miaka miwili mfululizo halafu utegemee akae tu hivi hv pasi na kuingiliwa!! Mwanamke uwezo wake wa kuvumilia ni miezi 4 hadi 5 tu. Zaidi ya hapo alitokea mwamba mwingine akitikisa tu kidogo beki zinaachia.
Ni usaliti sawa ...je wewe huko ulikokua kwa miezi iyo 9 hukuwahi kufanya usaliti?? Au ndio mtenda akitendewa ..... nyie wanaume mlivyo si wavumilivuKwahiyo kutoa mimba sio dhambi/usaliti mkuu?
Mbona kesi ndogo, PT unatumia mkojo tuu hata kama ana bleed mkojo anapata ambao hauna hiyo bleed. Kanunue akupe mkojo tumbukiza kipimo. Ila usije zimia.Nitaamini kipimo tu nasubiri amalize shughuli yake.
Sasa kapime DNA hao unaosema watoto wako wawili. Shida ya single mother ndo hiyo.Sihitaji ushauri wowote kwa sasa nimeshafanya maamuzi,ila kama kuna mtu anahitaji ushauri kutoka kwangu mlango u wazi.
aiseeAlikuwa nayo kweli Mkuu, mwenye mimba ni mzanzi mwenzie kazaa naye mtoto mmoja mimi nimezaa naye wawili.
Kwanini usimwondoe yeye na huyo mtoto wake ubaki na watoto wako ili kila mtu abebe msalaba wake yaani aende kwa huyo anayemtaka?Nitakuwa natuma tu pesa za matumizi,kwasasa sihitaji kuoa ngoja nitulize akili kwanza panapo majaaliwa 2024 nitaoa.
Wanawake wengi hawapendi kulea watoto wa waume zao,hasa mama zao wakiwa hai,utaachana na wake lukuki.Kwanini usimwondoe yeye na huyo mtoto wake ubaki na watoto wako ili kila mtu abebe msalaba wake yaani aende kwa huyo anayemtaka?
Ukute hana hata mke...Halafu mada zako ni za kutoa mimba
Sijui hata unalenga nini[emoji28]