Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Ukiona mwanamke anapitiliza wiki na zaidi kila ukimuomba game anakwambia kuwa siku zake hazijaisha, weka walakini!! Huenda anaweza kuwa ametoa mimba.

Maumivu makali ya tumbo katika kipindi chote hicho ambacho damu inaendelea kutoka.

Pia unatakiwa ujue mabadiliko ya kimaumbile pindi tu mwanamke anapopata ujauzito,

Mwili unajaa jaa, uso unakuwa mpana na wengine hupata chunusi, matiti yanaongezeka ukubwa na kwa sisi wataalamu tunajua changes za huko down
 
Sasa huoni ushaaribu kaka mnaumiza watoto, watoto wanahitaji malezi ya wazazi wote wawili kama sio kujua hivyo isingetokea hayo.
Ni bora kuishi na ukweli kuliko kuishi kwa wasiwasi. Halafu hao wanawake ndio wanakuja kuwalisha watoto sumu kuwa baba yao kawatelekeza bila ya kusema chanzo kilikuwa ni nini?

Ebwana kusalitiwa kunauma, ni boea hata mtu akupige unajua baada ya masiku kadhaa maumivu yatakuwa yameisha kuliko akutese maumivu ya moyo na kihisia.Mpaka unaingia kaburini huwezi sawau hilo tukio
 
Ila mzee baba nawe ulikosea kumuacha mke kwa muda wa miezi 9 pasi na kumuingilia. Mwanamke nae ni kiumbe na kina hisia na nyege pia,

Kwa upande wa uislam, tunashauriwa kuwa usimuache mkeo pekee kwa zaidi ya miezi 4/5. Zaidi ya hapo mwanamke hawezi kuvumilia na chochote anaweza kufanya.

Kutafuta pesa kupo ila tusijisahau sana wajibu wetu kwa wake zetu!! Hukumuoa ili akae tu, umemuoa ili umuingilie.
 
Pia mzee baba unaposafiri safari za mbali hakikisha unatoa taarifa mwezi mmoja kabla hujarejea!! Hii inampa nafasi mwanamke kujiandaa na kuweka mazingira sawa.Usimshtukize as if unaenda kumfumania.

Wazee walikuwa na hekima , hata kama atarejea mjini hafiki kwanza nyumbani kwake anatuma mtu apeleke taarifa kuwa ameshafika so bibie nyumbani anafanya maandalizi kama alikuwa rough, anahakikisha amejipamba kumpokea mumewe
 
Kwa umalaya wake tukija kufa kwa maradhi ya zinaa,watoto watalelewa na nani mkuu?
hapana,
si ndo maana nikasema bora usingejua tu.
 
 
Nimekupata Mkuu,ila wapo wanawake waaminifu hata miaka miwili anavumilia tu,ukiona mkeo hawezi kuvumilia miezi mitatu ujue hata ukiwepo anagawa.
 
Nipo makini sana Mkuu,hata ikionekana alikuwa na mimba sitompiga hata kelbu moja,namwachia kibanda naondoka zangu ili aendelee kulea wanetu,tumejaaliwa watoto wawili Mkuu.
Sas ukimuachia kibanda atamlea vip watot na je huto oa tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ukishampima alafu ikaonesha hana mimba je utathubutu kumwagilia usoni
 
Mfanyie kipimo cha ujauzito. Kipimo cha ujauzito bado kinasoma positive kwa muda hata baada ya kujifungua au mimba kutoka kwani level za B-hcG hushuka pole pole ndani ya wiki 4 mpaka 6
 
Siwezi fanya huo ujinga hata mke wangu anajua naingia saa na muda wwt bila ya taarifa
 
Legend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…