Nitamtambuaje mwanamke aliyetoka kutoa mimba?

Yani umeongea vizuri sana "Case Closed" wakipewa ushauri hawarudigi kutuletea mrejesho.
 
Katika kitu sitaki kukosea ni hiyo ya kuoa single mother wanakuwaga vigeugeu kinoma unamkuta kachoka unajipinda anangaa fresh jamaa lina mrudia kumgonga tena na mimba unalea usipo sanukia mchongo[emoji1][emoji1]
 
Kuna kutoa mimba na mimba kutoka bht mbaya elewa hvyo (miscarriage)
 
Nipo makini sana Mkuu,hata ikionekana alikuwa na mimba sitompiga hata kelbu moja,namwachia kibanda naondoka zangu ili aendelee kulea wanetu,tumejaaliwa watoto wawili Mkuu.

Unatafuta sababu
 
Kuumwa tumbo kwa maumivu makali ni kawaida kwenye hedhi.... Achana na Imani potofu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…