Nitampataje huyu binti wa kibosile!

Nitampataje huyu binti wa kibosile!

Andika kinote mpatie...."hey kama hutajali naomba tuonane hapo nje baada ya dakika 5, kuna jambo nataka kuuliza. Samahani kwa usumbufu." Ukifika nje mwambie nina ishu nataka tuongee ila hapa mazingira hayaruhusu niachie namba, na pengine sijui lini una nafasi? Ukipata namba maliza mchezo.
Huyu ni mvulana huyo mwenzie msichana hiyo tekiniki inakataa maana wasichana wakiombwa na watoto wenzao wagumu ila mshauri aandike kwenye karatasi kuwa anampenda na namba ya simu
 
Ninayo biznes kadi mkuu! Ila mazingira ya kufanya hicho kitendo ni magumu sana!
acha woga nitakuchapa viboko

sasa wewe kama umeogopa na kumtongoza kweli utanvua kyupi?

Business card ni kubwa kikaratasi ni kidogo sana mhudumu akipeleka vinywaji anakishikia kwenye vinywaji afi kiaina anampa dada hapo wewe kazia kumkonyezea.

Woga ulonao sitoshangaa ukimpata unaleta hapa uzi tukushauri jinsi ya kum....
 
Haaa mahaba ya bampa 2 bampa
Nliachana nayo tang 2015

Baada ya kuponeachupuchupu
Nijinyongeee yaan achaaa

Namshukuru dem dada flan
Pendo ndo aliniokoa aisee
Kwa ushaur wake
Ilikuwaje mkuu? Waweza kuweka hapa ili kutusaidia na wengine....tafadhal sana nakuomba
 
Huyu binti bwana ni mzuri sana!

Huwa tunakutana every weekend kwenye social activity flani hivi!

Huwa anapenda kukaa few metres from me! Yaani ni lazima, siku nyingine ikatokea tukakaa karibu kabisa! Siku hiyo nakumbuka kumuona mama yake akitabasamu baada ya kutuona tukiwa very close!

Huwa ikifika siku hiyo sipendi kuikosa maana najua kuwa nitamkuta! Huwa nisipomuona moyo unapata huzuni kidogo!

Kwakweli huwa hatuachagi kutazamana! Lazima tutazamane! Halafu ubaya ni kwamba! Anaonekana ni mkimya sana! Mimi pia ni mkimya sana tu!

Nahisi kama vile natakiwa kufanya jambo! Lakini tatizo ni moja kubwa sana!

Baba yake ni mtu mzito kidogo! Na huwa hakai mbali naye! Natafuta namna ya kubreak this silence na hii torture!

Nitumie mbinu gani kuanzisha mazungumzo naye! Kwa maana tunaangaliana tu hakuna anayetaka kumfuata mwenzake! Mzee naye anakaba haswa!
Itakua mnakutana kanisani
 
Andika kinote mpatie...."hey kama hutajali naomba tuonane hapo nje baada ya dakika 5, kuna jambo nataka kuuliza. Samahani kwa usumbufu." Ukifika nje mwambie nina ishu nataka tuongee ila hapa mazingira hayaruhusu niachie namba, na pengine sijui lini una nafasi? Ukipata namba maliza mchezo.
Gud answer,nimependa ulivyomjib...ndvyo wanaume tunavotakiwa tuwe!!! Kusaidiana kama hivi
 
Duh watu mna guts!!! Umejuaje kwamba ni kanisani??

1. Kila weekend kwenye Social activities (hipi inayofanyika kila weekend)
2. Huwa wanakaa karibu karibu
3. Na mamake (Msichana) pia anakuwaga kwenye hizo social activities
4. Na Babake pia huwa kwenye hiyo Social Activities na huwa anakaa karibu na binti yake
5:
 
Yeah hapo lazma iwe church!! Wewe jamaa una akili sana!!! Out of topic leo asubuh nlkuwa dukan kwa mangi nanunua vocha akaja dem mmoja iv type yangu akawa ananunua rasta ili akasuke then kikaja kitoto kidogo kikasimama pemben yake kikaanza kumfinya...yule mdada akstuka akamuuliza mtoto unaitwa nan akajibu aisha akamwambia mbona unanifinya? Kile kitoto kikajibu nlkuwa nakutoa mdudu!!! Aisee nljikuta nasmile coz kile kitoto kilijibu jibu moja amazing sanaa!!!
 
Kumbe alikua anafanyaje?
 
Kumbe alikua anafanyaje?
Alikuwa anataka tu kumgusa coz huyo dem alikuwa mweupeee kama mwarab na vimanyoya mkonon...but it seems like alimfinya kweli,ila jibu zuri alilopatia ni kwamba alikuwa anamtoa mdudu!!
 
Eeh vitoto vya dot.com ni shingidaa
 
kama hyo social activity ni kanisani mshawisi mjiunge na kwaya jioni wakati wa mazoezi ya kuimba toa dukuduku lako
 
Endelea kuogoap hivyo hivyo maana gut yako inaweza kukuponya na siku zote amini hisia zako maana zinakulinda,endelea kumtazama zaidi kila mkikutana maana kwa kuwa kujui hata zile sign za kutumia kichwa kuwasiliana basi tulia tu siku utakuja kumkuta kifuani kwako ukiwa unaota ndoto ya mchana
 
Baba yake ana uzito wa Kg ngapi?

Huyu binti bwana ni mzuri sana!

Huwa tunakutana every weekend kwenye social activity flani hivi!

Huwa anapenda kukaa few metres from me! Yaani ni lazima, siku nyingine ikatokea tukakaa karibu kabisa! Siku hiyo nakumbuka kumuona mama yake akitabasamu baada ya kutuona tukiwa very close!

Huwa ikifika siku hiyo sipendi kuikosa maana najua kuwa nitamkuta! Huwa nisipomuona moyo unapata huzuni kidogo!

Kwakweli huwa hatuachagi kutazamana! Lazima tutazamane! Halafu ubaya ni kwamba! Anaonekana ni mkimya sana! Mimi pia ni mkimya sana tu!

Nahisi kama vile natakiwa kufanya jambo! Lakini tatizo ni moja kubwa sana!

Baba yake ni mtu mzito kidogo! Na huwa hakai mbali naye! Natafuta namna ya kubreak this silence na hii torture!

Nitumie mbinu gani kuanzisha mazungumzo naye! Kwa maana tunaangaliana tu hakuna anayetaka kumfuata mwenzake! Mzee naye anakaba haswa!
 
Nakupa njia mujarabu kiongozi.
Kama una business card, unatakiwa umpatie na kama huna
tafadhali nenda stationary yoyote toa pesa kidogo wakutengenezee hata moja.
Ukishapata utaona kitakachofuata
 
Back
Top Bottom