miss 999
Member
- Feb 19, 2017
- 43
- 31
Hahaha wew sio mzimaMwambie afanye mazoezi apunguze uzito
Hahaha wew sio mzimaMwambie afanye mazoezi apunguze uzito
Bora maana anavozembea kweliAisee natamani nimfundishe asimkose mtoto mzuriii
Haya mapenzi ni habari nyingine! Huwa nikimuona nabakia kuota tu! Mawazo yanahama kabisa! Naishia kumuangalia tu!
Nimemaliza shule mkubwa! Hapa mission ni kumpata binti! Mengine kwa sasa hayana ulazima sana! Apatikane kwanza!Ha ha ha JF buana kila mtu anajua.
Pamoja na kwamba hujasema ni social activity gani, lkn inaonesha ni kanisa tena la walokole wa kisasa jamii ya kina masanja ambapo me na ke hukaa mchanganyiko.
Sasa fanya yafuatayo:-
1. Hakikisha wewe ni 25+ na una kazi inayokupa kipato, means ukikabidhiwa mke anaweza kula, vaa, kunywa na akikuzalia watoto wataishi vizuri.
2. Hakikisha binti hasomi yaani siyo mwanafunzi wa form one hadi six(Hili naona haliwezekani, mtoto wa chuo hawezi ambatana na mshua wake) lkn jaribu kutatua tuta hilo
3. Kama status yako na yake ziko positive, omba kumtembelea nyumbani kwao. Utaandaliwa mazingira ya kutiririka vizuri.
LAKINI kama mko negative, yaani wewe bado unatuzwa sawa na yeye, futa mawazo kabisa maana utakuwa unataka kutenda dhambi ya uzinzi japo hadi sasa usha zini naye kiroho, usha mtamani sana.
Na yeye? Hasomi?Nimemaliza shule mkubwa! Hapa mission ni kumpata binti! Mengine kwa sasa hayana ulazima sana! Apatikane kwanza!
Daahh Mkuu naona umemchana mtu mubashara kabsa...Ulivokaa nae close ulishindwa nn kuomba namba,, acha uboya mwishoe utamwita shemeji

Sawa mkuu nitampa kadi yangu!Hahaha mkuu unafikiri kwanini kuna simu siku hizi!?
Chukua namba ya simu/mpatie ya kwako.
Kumpatia ya kwako ni sahihi zaidi, sababu kama yupo interested atakucheki na kama hayupo interested atakupotezea.
unapoelekea utapiga punyeto hadi uzeeni ww ohoo!Mkuu kumsogelea tu naona kama mzee atanifunga!
Haaa mahaba ya bampa 2 bampaWe acha tu hujawahi kupenda aisee!
Andika no yako mpe mhudumu ampe kimyakimya. Andika no weka plz call me. Ndo kazi ya wahudum