Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,195
- 9,812
Hiyo ndiyo mipango mkakati wa kuimaliza CHADEMA kama inavyoratibiwa na CCM chini ya Nnape,Tyson Wassira na Kinena(Kinana)!Kwamba kuna mamluki wengi walihama CCM kujiunga na CDM wakiwa wamepewa maelekezo rasmi au maalumu kuivuruga CDM. Wapo wengi wakina Shibuda,ZZK na wengineo. CHADEMA kuweni macho na hawa mamluki maana wana tuharibia Chama.
Mimi nawashauri hawa mamluki wafikirie mara 2 kabla hawajatenda upuuzi wao kukimbilia CCM. Kama hawakijui vizuri chama cha Mafisadi-CCM basi wawaulize kina Samwel Sitta(former SPK),Lowassa(former PM),Rostam Aziz,Amina Chifupa(RIP),Horace Kolimba(RIP),etc!!!Hawa jamaa wanakurupuka tu hawajui kuwa CCM Inawatumia kama TOILET PAPER, kwamba mtu anapotaka kwenda chooni ndipo anaona umuhimu wa TP! Akishatua ngama yake chooni hana habari na TP tena!!!!!!Juliana Shonza asifikirie kuwa yeye ni tofauti na hawa, she will be treated the same and equally!!!
Poleni sana mazezeta na malimbukeni mnaokimbilia CCM na kutumika kama Toilet Papers.