Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nadhani tufike mahala huyu binti hakuna haja ya kumjibu. Maana kwaye, penye umaarufu ndio huwa anataka kupachokonoa. Na anafanya hivyo makusudi ili kutafuta attention.

Analazimisha umaarufu kupitia majina ambayo tayari ni maarufu.

Binti, umaarufu hauji kwa kujificha kwenye majina ya watu wengine ambao wamejitengenezea umaarufu. Jitahidi ufanye kazi ionekane na hayo mengine yatajileta yenyewe.
 
Kwani huyu dada jamani han mshauri mbona anapotea kweupe hata wa kumshauri hayupo jamani inaonekana huyu dada hana marafiki kabisa kama anao basi wote ni mambumbu vitu vipo wazi kabisa kuwa kamwe hawezi kupata ubunge kupitia jimbo la Ubungo kupitia CCM nakataa haiwezekani.Hivi kuna mawasilianao kati ya ubongo na mdomo wa huyu binti kweli.
 
Kaaaaaaazz kweli kweli alikua dom hajaona kamati ya cc ilivyoundwa na wale wanaouta urais wamechinjiwa ufukwen? Kwa hyo anatangaza nia mapema? Watampitisha tu cha msingi afunge siku40 bila kula wala kunywa ila hyo dhambi ya usaliti isamehewe
 
nakusoma muda mrefu unahitaji maombi ili akili yako ifunguke ujue unachokiandika
ukishajua nini maana ya upinzani urudi kuandika upya
chama hakina mamlaka ya kumchagua mbunge bali wapiga kura

QUOTE=Sumu;5678922]Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOTE]
 
Labda anaijua Ubungo ya kwenye gazeti la Uhuru. Kwetu wakazi wa Ubungo hata umsimamishe Obama na Mnyika, lazima Obama arammbe mchanga! Awape salamu hizo na ma-dhaifu wenzie wanaompokea kwa mbwembwe mtu aliyefukuzwa kwa kuonekana hafai toka chama kingine.
Mmmm hii nayo kali kaka, yetu macho bwana. Lakini anayefikiria kutia mguu Ubungo ajiandae maana mdogo wangu Mhe. Mnyika wapiga kura wake wanamfagilia hasa kwenye kukarabati barabara na kujenga madaraja. Labda wana Ubungo waliomo humu ambao wanaweza kusimama katikati watusaidie ili angalau tujue hali ikoje mpaka sasa na mbunge wao wanamwonaje?
 
kigingi chake cha kwanza kitakuwa NAPE kablal hata hajmkaribia JJM
 
Yeye anasemea ubunge wakati hata hata boyfriend mwenye akili atamwacha kwa maamuzi na aliyowafanyia watanzania wenye kiu ya mabadiliko.
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mkuu umeandika ukiwa safi kabisa au ulikuwa ushapiga mambo yetu yaleeeee?
 
Labda kwa kutumia uchawi,lakini hivi CDM na CCM ni wapi kuna urasimu? nani CCM atakuruhusu kuropokaropoka nadhani hakuna chama kisichokuwa na viongozi wasemaji,huko CCM hiyo nafasi ya kugombea ubunge ndiyo uisahau kabisaa labda kama ungejiunga UDP wako tayari wengi katika waiting list sembuse J Shonza!!!!
 
Nenda,
Nenda salama.
Nenda mwana kwenda.
Yamekushinda ya CDM,
Utayaweza ya CCM?
Yangu macho...!!
 
sawa tu, kumbe nia yake jimbo la Ubungo?
Naona Mnyika atapita bila kupingwa

Kweli Mtoto Juliana haoni Mbali, anafikili anatangaza vita na Mnyika kumbe ananzisha mapamabano na Shamza Mwangunga,Nape, na yule dada aliyepambana na Mnyika 2010. Mpaka avuke vihunzi hivyo Juliana kisha chakaa!
 
Si bure itakuwa anaujauzito wa Nch***a unamsumbua, vijana wa CHADEMA lazima tujute kwa shonza kujiongezea kaCV ka yeye kuwa makamu mwenyekt.
 
Hahahah hata hajamaliza siku moja tayari kaanza kuropoka!!
Nani kamwambia atateuliwa kugombea ubunge jimbo la ubungo?!
Kama alikua hajui hili asubiri aone!
Akamuulize mama Shamsha Mwangunga, alipigwa chalii kura za maoni pale sinza na Nape walishindwa na Bi Hawa Ngumbi.. Huyu Shonza asubiri sana aisee, akawaulize akina Papaaa Tambwe Hiza wako wapi mbona temeke hana nafasi?
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

kauli za juliana Shonza siku zote huacha maswali mengi kuliko majibu, Hivi huyu mdada na umri gani mbona ana mambo ya kitototo sana!!!

"Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia"

Mnyika yuko sahihi kwa kauli hii maana historia inaonyesha kwamba CCM wana kawaida ya kuyatumia masalia kama shonza na kisha kuyatelekeza;

Juliana Shonza anamkumbuka Dr. Masumbuko Lamwai??!!
jembe kali la mageuzi wakati huo lililogeuka masalia?!
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Huyu mdada anataka kuzikwa hata kabla hajafa. Duh kazi ipo. Amechagua destiny yake. Angejua aende hata kwa NCCR-Mageuzi pengine ange eleweka. Sasa amekuwa Comedian wa nyinyiem. Total politically dead and burried. Goodbye July..... Angalau umeonesha unafiki wako.
 
Ubongo wa huyu binti utakuwa hivi:

BrainMens.gif
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

Nimependa hilo jibu alilolitoa Mnyika. Ni kweli kabisa huyo binti hapaswi kuota kuota kupewa nafasi ya kuwa mgombea leo hii, hasa ukizingatia minyukano ya kugombea vyeo ndani ya hicho chama chake kipya.
Lakini hata akijaaliwa kupitishwa kugombea ktk jimbo hilo ajue wazi kuwa atapoteza muda wake bure, Mnyika ni jembe tena moto wa kuotea mbali 2010 amewashinda kwenye sanduku la kura mpaka mahakamani, aibu zaidi waliamua wenyewe kufuta kesi.
Shonza ni bado mtoto sana, JJ MNYIKA sio saizi yake, asivimbishwe kwa hizi airtyme anazopewa.

Namshauri dada yangu huyu, atulie ajijenge huko aliko na aache malumbano na CHADEMA.
 
Jk mwenyewe akienda ubungo atapata kura 2 tu shonza naona anatafuta mchumba kisiasa sijui atampata lini ili atulie!
 
Back
Top Bottom