Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
![]()
huyu dada ana ujasiri mkubwa. jinsi alivyohutubia jana pale dodoma, inaonesha uwezo wake ni mkubwa. anasema chdm kuna mfumo dume. tusimshambulie kwa kauli yake. tuifanyie kazi. hivi kweli katibu mkuu wa chdm dr slaa ni mbabe? katika gazeti la rai la leo amekiri kuwa ubabe anao kwa kiasi fulani. hamuoni kuwa anakubaliana na juliana?
juliana akipitishwa na ccm kugombea ubungo, anaweza kumtoa kamasi na kumgaragaza mnyika. la kufanya ni mnyika kujipanga vizuri. tusiwe na utamaduni wa kudharau watu. juliana anatisha awapo jukwaani
![]()
hoja ya kwamba juliana alikua amefukuzwa chdm haina mashiko. hata dr slaa alikua mbunge wa ccm. alipo angushwa kwenye kura ya maoni ndiyo akakimbilia chadema. kuna watu hawajui historia ya slaa. vijana wengi wanadhani alianzia chdm.
Ningekuwa sio mkristo ningekushushia matusi yote ya duniani, usirudie tena kuandika uchafu kama huu!!