Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

dada SHONZA tafuta maana ya hizi...

la kuvunda halina ubani,...

kitanda usichokilala hujui uvungu wake,.....

samaki mkunje angali mbichi,....

mchelea mwana kulia hulia yeye.....

ganda la mua la jana chungu kuona kivuno,.....

heri nusu shari kuliko shari kamili.........

UKIMALIZA UTUJUZE SISIS WALAL HOI TUSIO NA NJAA NA ULAFI KAMA WEWE.
 
531761_10152143897020931_1159563049_n.jpg

huyu dada ana ujasiri mkubwa. jinsi alivyohutubia jana pale dodoma, inaonesha uwezo wake ni mkubwa. anasema chdm kuna mfumo dume. tusimshambulie kwa kauli yake. tuifanyie kazi. hivi kweli katibu mkuu wa chdm dr slaa ni mbabe? katika gazeti la rai la leo amekiri kuwa ubabe anao kwa kiasi fulani. hamuoni kuwa anakubaliana na juliana?

juliana akipitishwa na ccm kugombea ubungo, anaweza kumtoa kamasi na kumgaragaza mnyika. la kufanya ni mnyika kujipanga vizuri. tusiwe na utamaduni wa kudharau watu. juliana anatisha awapo jukwaani
555980_292613907530931_2065852268_n.jpg

hoja ya kwamba juliana alikua amefukuzwa chdm haina mashiko. hata dr slaa alikua mbunge wa ccm. alipo angushwa kwenye kura ya maoni ndiyo akakimbilia chadema. kuna watu hawajui historia ya slaa. vijana wengi wanadhani alianzia chdm.

Huyu binti kumbe havijui vijizehe vya Magamba!!

Si mnaona wenyewe alivyozongwa na hivi vizee vya CCM! Check alivyojiegemeza kwa kijibabu Kikwete?Hivi unafikiri vijizee vya Magamba vitamuacha salama kweli??? Lazima aliwe uroda tu atake asitake.

Afanya mchezo nini,thubutu yake!!!
 
Dada nakutahadhalisha usiingie kwa gia kama hiyo je unamkumbuka Tambwe Hiza alitukana weeee wengi tukadhani kwa matusi yale angeweza kupewa hata "Ukuu wa Wilaya" lakini sijui kama yuko hai maana siku hizi sisikilizi Radio Tanzania TBC. Kifupi ni kwamba huko Ubungo kuna wagombea wa kudumu kupitia CCM.

Cheza na Hawa Ng'humbi weye!!!
 
Huyu binti kumbe havijui vijizehe vya Magamba!!

Si mnaona wenyewe alivyozongwa na hivi vizee vya CCM! Check alivyojiegemeza kwa kijibabu Kikwete?Hivi unafikiri vijizee vya Magamba vitamuacha salama kweli??? Lazima aliwe uroda tu atake asitake.

Afanya mchezo nini,thubutu yake!!!

huyu ni Rais wa Nchi! onesha heshima we dogo!

- una maana hawa wazee watafanya kama alivyo fanya mzee slaa kwa rose kamili na josephine mke wa mtu?
- una maana hawa wazee watampa juliana cheo kama mzee slaa alivyompa cheo rose kamili. rose ni mbunge viti maalum chdm. inasemekana alipewa ubunge ili aachane na mambo ya kuingilia mahusiano ya slaa na josephine.

chezea mzee slaa wewe!!!!!!!!! mzee ana uchu!!!
 
Lazaima huyu dada atakuwa na kansa ya ubongo si mzima kabisa na sasa unashuka kuelekea kwenye makalio,katafute wa kushindana nae aise Mtatiro aliwaka pale utakuwa wewe kupe
 
Mpaka 2015 ndani ya ccm usipoangalia shoza wadhifa wako utakuwa umeshuka mpaka kuwa muandikishaji wagen lumumba....yaan jamaa wa magogon kukuzungushia mkono ushajiona makamu mwenyekit ccm hahahahaaaaaa kwel umeisha......jitahid kipindi hiki upige story sana na hao wakubwa wa nyinyiem kwa sababu 2015 mtu wako wa karibu atakuwa mlinzi wa lumumba....
 
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.

Shonza alitumia fursa hiyo kumtumia salamu Mbunge wa Ubungo John Mnyika (CHADEMA) na kumtaka ajiandae kwa mapambano katika uchaguzi wa mwaka 2015.Shonza amesema mjini Dodoma kwamba mwaka huo ndiyo utaamua kati yake na Mnyika ni nani zaidi Ubungo

Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mbunge wa Ubungo John Mnyika amemtaka Shonza amuombe Mungu kwanza ili apitishwe na CCM kugombea na mengine yatafuatia.

Source:Tanzania Daima/Mwananchi.

huyu bidada ndoto za kugombea uenyekiti wa Bavicha zimekwisha, sasa anaota kugombea ubunge wa Ubungo. Hivi ni nani alisema ndoto nzuri uote usiku, ukiota mchana inakuwa ni "maruweruwe"?
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Utakuwa mnafiki kama hutoeleza sifa alizonazo j.shonza dhidi ya j.mnyika hususan katika masuala ya jimbo la ubungo, ni kitu gani au uwezo gani alionao shonza dhidi ya mnyika ili kufanya apewe kura na wanaubungo? kwa taarifa yako mnyika ni zaidi ya mbunge wa ubungo, hoja na maoni ayatoayo bungeni kwa asilimia kubwa ni za kitaifa zaidi kuliko za kijimbo jimbo, yeye ni mzalendo mjenga taifa!hivi kila mbunge akisimama bungeni awe anadai maslahi ya jimbo lake tu, je ni nani atatetea yale ambayo ni maslahi ya taifa kwa ujumla? mathalani ikiwa bei ya mchele ni nafuu sana jimboni kwa mbunge fulani wakati sehemu nyingine ni bei ghali sana unataka mbunge akae kimya kisa kwake ni bei rahisi, vipi kuhusu masuala ya rushwa, ufisadi, uzembe, kutowajibika n.k ndani ya serikali, je hayo ni masuala ya mbunge wa jimbo gani?
 
huyu ni Rais wa Nchi! onesha heshima we dogo!

- una maana hawa wazee watafanya kama alivyo fanya mzee slaa kwa rose kamili na josephine mke wa mtu?
- una maana hawa wazee watampa juliana cheo kama mzee slaa alivyompa cheo rose kamili. rose ni mbunge viti maalum chdm. inasemekana alipewa ubunge ili aachane na mambo ya kuingilia mahusiano ya slaa na josephine.

chezea mzee slaa wewe!!!!!!!!! mzee ana uchu!!!

Kwa uchu alio nao sasa anakutaka na wewe akudo unasemaje?
 
Hahahahahahahaha
kweli jimbo la ubungo lina wauma! Kwanza maccm hawawezi kumputisha juliana kabisa!

Kwanza kitakuwa ni kichekesho mtu mwepesi kama Juliana Shonza kumpambanisha na mnyika!
Hii ni ndoto ya mchana kweupe!
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa mnafiki kama hutoeleza sifa alizonazo j.shonza dhidi ya j.mnyika hususan katika masuala ya jimbo la ubungo, ni kitu gani au uwezo gani alionao shonza dhidi ya mnyika ili kufanya apewe kura na wanaubungo? kwa taarifa yako mnyika ni zaidi ya mbunge wa ubungo, hoja na maoni ayatoayo bungeni kwa asilimia kubwa ni za kitaifa zaidi kuliko za kijimbo jimbo, yeye ni mzalendo mjenga taifa!hivi kila mbunge akisimama bungeni awe anadai maslahi ya jimbo lake tu, je ni nani atatetea yale ambayo ni maslahi ya taifa kwa ujumla? mathalani ikiwa bei ya mchele ni nafuu sana jimboni kwa mbunge fulani wakati sehemu nyingine ni bei ghali sana unataka mbunge akae kimya kisa kwake ni bei rahisi, vipi kuhusu masuala ya rushwa, ufisadi, uzembe, kutowajibika n.k ndani ya serikali, je hayo ni masuala ya mbunge wa jimbo gani?

ondoa hoja za kijiweni hapa. maoni yako yanamdidimiza mnyika. tumsaidie ili arudi bungeni 2015. naheshimu michango yake bungeni lakini tunamshauri awe karibu na raia wake jimboni. anasemwa sana jimboni. siyo lazima amwage hela. ahamasishe angalau usafi huku akishiriki mwenyewe. ajenge choo katika shule moja ya serikali.....shule nyingi zina matundu mawili hadi manne ya choo......

usiwe na ushabiki wa kijuha bila kutumia ubongo dogo!
 
Simba na Barcelona au Somalia na Brazili wote wanacheza mpira , ukiacha mafanikio maana huko tukinda ni mbali sana.uwezo wa hizi timu ni tofauti kabisa huwezi jilinganisha na kaka yako Mnyika hata kwa dawa ukizungumzia uwezo wa mnyika ni unazungumzia akina Nyerere.Sijakataa ya kuwa ww ni nzuri kisiasa lahasha ni mzuri mno sababu umekulia katika msingi na maadili ya CDM.Ila tabia na heshima ndivyo vyenye kukukweza zaidi ama kukushusha siku zote mjeuri na asiyekuwa na heshima kwa viongozi hawezi fanikiwa hatahuko hutofika mbali kama utakuwa na hivyo vijitabia vyako.tusubirie tuone hata kama huuo wa kupewa / viti maalumu ok kila lakheri.
Kumbuka tuu nidhamu ni taa katika maisha ya mwana damu CDM tulizingatia zaidi maadili tofauti na uendako
 
Hakuna kilichofanyika kwenye jimbo la Ubungo zaidi ya kumuona mbunge wetu Mnyika akiruka sarakasi zake bungeni ambazo hazitusaidii chochote sisi wananchi.

Juliana Shonza atapata ubunge bila ya wasiwasi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli. Nikiona wanawake na watoto wanavyohangaika kutafuta maji. Badala ya kutoa solution anahamasisha nguvu ya umma ndio ishindikize tupate maji. Huku hatuna maji tuache kutafuta maji twende maandamano. Tukirudi na jasho maji hakuna vilevile na virungu tumepata. Kwa hili kaka Jimbo la Ubungo halina mwenyewe 2015
 
:fencing:Huyu dada Juliana alikuwa na sababu gani ya kumwegemea rais kama alivyofanya. Huu ni utovu wa nidhamu. Kwani angesimama straight ingekuwaje? Amenikera. Anamvunjia rais heshima yake.
:fencing:
 
Kumbe shida yake ilikuwa ni kumung'owa Mnyika ubungo si angesema tu tangia mwanzo ili akaeleweka?.lakini anashilingi ngapi zitakazomwezesha ili aweze kupita kwenye kura za maoni za Ccm?.ccm hakuna mchezo mama mkono mtupu haulambwi.
 
Back
Top Bottom