Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?

Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.

Muda ninaoupenda angalau dk30
Lengo la kupaka VLC sio kukukomoa Bali Ni kukusatarehesha zaidi na zaidi.
Jamani am grateful mkuu😍
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Babu katika ubora wake! Anataka kumkagua mtu je huwa ananyoa au hanyoi? Na kama ananyoa lini kanyoa mara ya mwisho? Na kama hanyoi sababu za kutonyoa ni zipi? 😜😜😜

I love you
 
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?

Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.

Muda ninaoupenda angalau dk30
Kasongo Mundende nae anasemaje sasa
 
Leo niko alone na sina usingizi, nimetafuta kwenye makabati yangu kama nitapata cha kusoma naona kapa.

Sasa inabidi twende na mziki huu huu tu.

Hizi kitu za mkongo sijui kama ni real, nazisoma tu kama unavyozisoma wewe humu.

Ni real sema haina raha
 
Au unakula hela sana
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Babu katika ubora wake! Anataka kumkagua mtu je huwa ananyoa au hanyoi? Na kama ananyoa lini kanyoa mara ya mwisho? Na kama hanyoi sababu za kutonyoa ni zipi? 😜😜😜
Taratibu ndugu yangu, utaniharibia move ujue.....😎😎
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Au mpaka kwenye kope... Mmoja alipopata chance alikimbia na chupi mkononi[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…