Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
- Thread starter
-
- #141
Kwahiyo umeachwa tena? Dah! Njoo kwangu babu yako.... tutadedi pamoja wallah
ndo angepeswa aeleze nn chanzo ili tujue member ni vp tumsaidie dada yetu kipenzi mwenye lips personal!!!Kosa kubwa ulilifanya pale ulipoamini uwezo wa mali na fedha ndio msingi wa mapenzi yenu, mara nyingi naona wanawake ndo wanawaacha wanaume kisa financial problem hii ya kwako ni kiwanda kingine
kumbe mtu akikoment ki english mtoa uzi nae anamjib hivo hivo, basi mm nacoment kwa ki-tailand naomba mtoa uzi unijibu ivo ivo>>>It is a long time
At the beginning of all this..
I met person of interests
But nimejifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kwa swali hili "umeweka dhamira ya kulipiza kisasi kwa wengine kivipi?"Asante kwa hili.. Ntakua mwema
Na ntjitahidi kuishinda dhamiti ya kidunia inayonivuta kulipa kisasi kqa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano yana 'link' au yanaweza kushawishiwa na ndugu na jamaa,sasa ni wewe kujua ni muda/wakati gani hao watu wanatakiwa kuhusika.Ndio maana kuna wengine wameweza kuishi pamoja au kutengana kutokana na hilo kundi.Hapa tunapeana uzoefu tu na wala hatubishaniunachosema ni kwel ila tambua mtoa uzi amezungumzia matatizo ya wana mahusiano me huenda kwa umri wang mdogo huonda sijaona neno ndug jaman.. embu naomba unionyeshe lilipo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huu uzi wanaquotiwa wengine unaparamia wewe
Mwiso utasababisha watu waseme wewe ni id yangu nyingine..please punguza mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
ထညတဋယပယသတဌဣ ဋပဣဖဣဖထkumbe mtu akikoment ki english mtoa uzi nae anamjib hivo hivo, basi mm nacoment kwa ki-tailand naomba mtoa uzi unijibu ivo ivo>>>
ညဋဏဒဌရဋဋ်မဌဘဏဋလည်မဋ၍ပမဖတထဋဋရလညဋဏဋမဌဋ်ဒညပဏကစရညဋထဋမဌ်ဋထဋဋထဌဆပဖ်ဌထဒဋ်ဖညထညဋထဋဏဋတညဇဋဖဘဋဏဋဍရဋတ လဌဌမဌမညဋဘဋ်ဋ်ဋမပဗမဗဗ ဋမဋဋဋဋရညဘဋတညညထဋညရညဋမဏဋဋ်ဋဌခခစမဋဋရဋ ဪဪဪဪညမည်
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kwamba sitopendwa kwa matatizo yangu..je nahitaji kumpenda mtu kwa matatizo yake?Samahani kwa swali hili "umeweka dhamira ya kulipiza kisasi kwa wengine kivipi?"
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mtu akikoment ki english mtoa uzi nae anamjib hivo hivo, basi mm nacoment kwa ki-tailand naomba mtoa uzi unijibu ivo ivo>>>
ညဋဏဒဌရဋဋ်မဌဘဏဋလည်မဋ၍ပမဖတထဋဋရလညဋဏဋမဌဋ်ဒညပဏကစရညဋထဋမဌ်ဋထဋဋထဌဆပဖ်ဌထဒဋ်ဖညထညဋထဋဏဋတညဇဋဖဘဋဏဋဍရဋတ လဌဌမဌမညဋဘဋ်ဋ်ဋမပဗမဗဗ ဋမဋဋဋဋရညဘဋတညညထဋညရညဋမဏဋဋ်ဋဌခခစမဋဋရဋ ဪဪဪဪညမည်
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaosema unakosea hayajawahi kuwakuta. ...... Ila binafsi ilishanitokea kwahyo naelewa vizur tuEengi wanasema nakosea.
Kama mimi nashindwa kuvumiliwa kwa changamoto ndogo.. Mi ndo nianze kujivika mizigo yao ilhali nlionekana mav*
Kidini sio sawa.. Lakini kidunia ni sawa. Shida zangu zinanitosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamaanishi matatizo ya tabia.Sasa kama unamatatizo why asikuache? Rekebisha hayo matatizo kama hutaki akuache.
Kama tatizo ni la kibayolojia na haliwezi kutatulika kuna changamoto zake,mara nyingi uhusiano wa namna hii inabidi kuongozwa na imani.Yani kwamba sitopendwa kwa matatizo yangu..je nahitaji kumpenda mtu kwa matatizo yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala wanawake ndo wavumilivu katika hili atamvumilia bwanaAke akijua ipo Siku atapata....Kosa kubwa ulilifanya pale ulipoamini uwezo wa mali na fedha ndio msingi wa mapenzi yenu, mara nyingi naona wanawake ndo wanawaacha wanaume kisa financial problem hii ya kwako ni kiwanda kingine
Umenitoa gizan, asantehMahusiano yana 'link' au yanaweza kushawishiwa na ndugu na jamaa,sasa ni wewe kujua ni muda/wakati gani hao watu wanatakiwa kuhusika.Ndio maana kuna wengine wameweza kuishi pamoja au kutengana kutokana na hilo kundi.Hapa tunapeana uzoefu tu na wala hatubishani