Asante mkuuSiku zote chagua mnayeendana ata kama anakasoro ila chagua utakayeisi ni sahihi kwako ila usimsamehe aliyekuacha kwenye matatizo au msamaha wako usiwe wa kurudiana labda uwe wa kutimiza ahadi ya Mungu samehee lakini usisahau ila kikubwa tumia akili katika kumchagua mwenza
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Hs, kwakweli nkifikiria napata tabu sanaAfu uchungu huwa unamuumiza zaidi yeye anayeubeba. Nothing good will come out bitterness
Eengi wanasema nakosea.Hujakosea....
Kama sikosei umeachika kisa anguko la uchumi, na wewe Wala usimvumilie mtu upuuzi maana hata wewe walikuona mzigo ndo maana akasepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilipize baya kwa ubaya..Mungu atakubarikiIkiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amerudi kukuomba msamaha..??Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kwa mfano una mpenzi.. Lakini ghafla unapatwa matatizo au majanga... Anaamua kukuacha kisa hayo matatizo. Ukisema siwezi penda mtu mwenye matatizo yake sababu mie nakosa kupendwa na naumizwa sababu ya yangu utakua unakosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajawahi. Naona kampata mwingine mkamilifu
Umeona?Ooh hapana Kabisa!! Afu mtu anaye kuacha kipindi cha matatizo ni mtu aliyekutamani tu.. dah sema sisi binadamu ni wakatili Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana... Hautakuwa na kosa nawe ukimuacha akiwa na tatizo...Hajawahi. Naona kampata mwingine mkamilifu
Just bcs i couldn't hang out anymore.. Going to places... Do stuffs with him
I was leg sick. And those was visingizio vya kuniacha
Basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifikilia maumivu ya matatizo uliyonayo + mtu unayempenda anakuzingua aise
Asante Hs, kwakweli nkifikiria napata tabu sana
Mtu ulimpenda yeye kama yeye halafu hata maisha hana. Analalama sipati mwanamke kisa hela.
Halafu changamoto zangu uvumilivu anakosa..
Ndo ukisikia zile ndoa mume kamkimbia mke au mke kamkimbia mume kisa kapoteza kazi ndo haya
Mlio kwenye ndoa na watu wa aina hii poleni
Sent using Jamii Forums mobile app