Naona Niffah kawa banned. To be honest nitammis sana humu ndani. Napenda sana michango yake kwenye mada kadha wa kadha. Pole sana NiffahView attachment 470912
Mungu wangu,huu ni upendo mkubwa! Sijui nikuambie nini ili kuielezea furaha niliyonayo.
Nashukuru sana mkuu,umeingia ktk kitabu changu cha kumbukumbu.
Ubarikiwe.