Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Mkuu nishamaliza
Sina Deni Sasa
Mazima
Ahsante.Ubarikiwe
Mkuu nishamaliza
Sina Deni Sasa
Mazima
Mkuu nishamaliza
Sina Deni Sasa
Mazima
Du pole sana, sijawahi kusoma mpaka pag 13, ila kwa story hii ni noma
Naombeni summary ya hii hadithi. Siwezi soma yte aisee.
Pole. Ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze.
Mkuu majigo tunaisubili kwa hamu, ungetupa tarehe utapoanza kuirusha. unatisha sana mkuuWapendwa
Simulizi Hii Ni Ya Kweli
Ingawa Mimi Sio Shija
Kwa Sasa Shija Na Wazazi wake hawaishi Kijijin Kwao Tena
Vlvle Maisha Yao Ni Ya Kiucha Mungu Sana
Mama Helena Alifariki Miaka Miwili Iliyopita(aliugua Gafla Na Kufariki Mda Mchache Asubuh)
Sabina Sasa Ni Mama Wa Familia Na Ana Watoto Wawili vivyo Hivyo Helena Yeye Ana Mtoto Mmoja
Ingawa Wako Mbali Sana Lakini Huwa Wanawasiliana Na kubadirishana Mawazo Ya Kimaisha!
Nikipata Mda, Nitarusha Nyingine Inayosisimua Zaidi Ya Hii(TEKNOLOJIA YA UCHAWI UNAOTISHA)
Ahsanten