Nitakubeba Juu Juu

Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,429
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,429 2,000
Boflo kweli we unapenda ngono khaa simpe statement umeshaicomplicate tayari we kiboko kaka.
 
Last edited by a moderator:
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Messages
6,884
Points
2,000
Mbimbinho

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2009
6,884 2,000
na lisipotokea akarudi na madume yake!!!!1
Itabidi amwambie kuwa amekuja na Madume., plus blekiberi lazima akili itakuwa imeshake na hapo ndo itakapotumika.
Zege halilali..:glasses-nerdy:
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
mbona una haraka ya kujua subiri utaona ni juujuu ipi
 
Kana-Ka-Nsungu

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
2,260
Points
1,195
Kana-Ka-Nsungu

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
2,260 1,195
Wasikujaze ujinga hapa mkuu ukaingiwa na expectations kubwa, siku ya siku ukikutana na demu unampa BB yake na yeye anatoa mbeleko yake kwenye handbag anachuchumaa anakuambia upande mgongoni....huko kubebwa kuchukulie hivohivo kama kulivyo for now!
 
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,467
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,467 2,000
Hivi Blackberry bado zipo sokoni?
Consignment ya kwanza kabisa iliyoingia nchini kwetu mwanzoni mwa mwezi huu bado iko sokoni sasa hivi, BB is the lattest version of handset ever; hapa kwetu. Yaani sawa tu kama nyie mlioko huko majuu mnavyo-enjoy na windows 8 au iPhone5
 
piper

piper

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
3,256
Points
1,195
piper

piper

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
3,256 1,195
Atakufurahia zaidi, hamna mambo hapo
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,309
Points
2,000
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,309 2,000
Siku ya tukio usisahau kubeba dume mkuu,lolote laweza kutokea!!
Na madume yayo hupasuka mkuu!!! Kabla ya dume wapite kwanza angaza!! Usiombe kitu ipasuke ukiwa kati ya mchezo!! Kitu inasinyaa kabisa!!
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,827
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,827 2,000
we nenda ukabebwe juu juu ukianguka usije kunisumbua na mibarafu mie!
labda Preta,na ye sijui na hivi hujatununulia gauni la Kim!
kwa taarifa yako tumepata mtu wa kutununulia we nenda kanunue tu hiyo BB
 
Last edited by a moderator:
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
3,467
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
3,467 2,000
Black Berry ni simu za watoto wa shule za primary UK! Kumbe bongo ni simu za watu wazima!
ONE YEAR;
Lazima utakuwa una akili sana. Umezaliwa majuu huko mamtoni wengine huwa tunapasikia tu, halafu unajua kiswahili namna hii? Umejifunzia wapi na lini?

Actually mimi kama ningekuwa nimezaliwa majuu, nisingekubali kuwa mtumwa wa kiswahili namna hii, ingekuwa "bong'wa Queen" moja kwa moja. Wewe mwenzangu ka-utumwa kidogo ka kutokupenda lugha yako ya kuzaliwa kanakutafuna,..., hadi inafikia unaparamia lugha zetu sisi walalahoi wa BB kama sisi!
 

Forum statistics

Threads 1,304,910
Members 501,588
Posts 31,531,352
Top