comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,504
Nilikua naishi mazingira ambayo niliona kama hayana mambo mengi mazuri, Yani ikawa kama nmeyaishi Kwa Miaka mi3 nikayachoka nikatamani niishi sehemu nyingine yenye mazingira Fulani tofauti.
Nikajenga mahali pengine na hivi nimehamia hapa Nina kama week 3, lakini hapa Napo ñaona kama nmeshapachoka natamani tena nikapate sehemu nyingne yenye mazingira mengine nikajenge tena nikaishi huko, tena sasahivi natamani mkoani SIO dar, shida itakua nin?
Nmekua MTU wa kuhama sijawahi Kukaa kwenye nyumba zaidi ya Miaka mi3, iwe yangu niliyojenga au hata ambazo Miaka hiyo nilivyokua napanga.
Hii Nani ishawahi kumkuta.?