Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)?

Ni vizuri kumuuliza muhusika mkiwa katika tendo! kama mmeweza kuvuana nguo sidhani kama kuulizana hili swali mtaoneana aibu

Atamwulizaje wakati akimwuliza anaweza kumdanganya....na hivyo kumpofua moja kwa zote kwa mapigo ya uongo na ukweli tu.........anatakiwa ajue vipimo husika kwa usiri mkubwa na kazi ni kugusa vibonyezo vya kumfikisha mwenzie atakapo kwenda.................au kufika.......
 
utamuwezaaaaaaaaaaaaa?mwachie finest

hahah si unajua hakuna anachoshindwa chaiman...ila kama suala ni Ufinest, basi tumwachie tu......(hivi ukimaanisha kumuwezaje?)
 
Na hii nayo nimeiona..:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
eehh we nawe!!!!!!!!
dig dig wakale wap sasa?
ebu kuwa huruma na viumbe vidogo dogo bwna.......bila ivi vi dg dg msitu aujakamilika remember so acha tuwalishe waendelee kuwepo!!!!!
 
:tape::tape::tape::tape::tape:
 
eehh we nawe!!!!!!!!
dig dig wakale wap sasa?
ebu kuwa huruma na viumbe vidogo dogo bwna.......bila ivi vi dg dg msitu aujakamilika remember so acha tuwalishe waendelee kuwepo!!!!!

Kumbuka nafanya tracking hadi ya simu zako...very soon kuna mtu ata:rip:
 
Mimi kazi yangu ni kuwaangalia tu wanavyohangahika

Yani huyu Pope haeleweki,wewe ndo ulimzindua mama big baada ya yeye kukimbia sasa anamtaka tena!usiogope uchair chake wacha iwe mbaya
 
Jamani wanaJF mwenzenu nimeulizwa swali kuwa atajuaje kama mpenzi wake amefika kileleni (orgasm)? na afanye nini ili mpenzi wake afike? ...

Ukisikia anajamba jamba ovyo ovyo ujue hapo tayari mziki umekolea na umefika kunako
 

Sasa hili bandiko lako lingekuwa na uzito zaidi endapo ungeambatanisha na ithibati za kitakwimu na vyanzo vya ufahamu wako iwe utafiti binafsi ulioufanya au usomaji wa majarida, tafiti, na maandiko ya wengine. Ni hayo machache tu.

Wako katika ujenzi wa taifa, NN aka Mzee wa Byuroo
 
Ukisikia anajamba jamba ovyo ovyo ujue hapo tayari mziki umekolea na umefika kunako

hivi utawaacha lini hoa wa mazense na kariakoo? kila ukitafutwa huonekani....hommie vp bana wewe?
 

hahahahah NN bana.....hapa watu wanaogopa journals and the like.,......muulize mwalimu Gaijin na Baba Gift a.k.a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…