tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,149
Wakuu hapa nina kisimu changu cha Galaxy ace 2-GT-I8160, Shida ipo kwenye betri na nimejaribu kununua karibia mara mbili na nimeambulia patupu!
Yaani kila nikinunua betri inakuwa mbovu na ile iliyokuja na simu inakuwa bora zaidi japo imechoka!!
Last time nimeangalia specifications zilikuwa zinafanana lakini mambo yakawa yale yale.
Betri haimalizi hata 3 hours na niliinunua 20,000 !
Naomba msaada ndugu zangu, nitapataje betri nzuri?