habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
.... Utamu wee... utamu utamuuu weeee...
..., jamani nimeona utamu wa YESU Eeee... Utamu eeeehhhh.
Ndo alie bakia huyo.. Jaribu na hapo.
Mkuu unamaanisha nianze kusali sasa
unazurura kwa sababu Location yako ni: AIRPORT..............Soma ushauri wa The Boss ni wa muhimu sanaBinafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
kwa nini utake kutafuta furaha kwa watu.....furaha yako ipo ndani yako mwenyewe.......
Furaha gani unayotafuta...unless unajua unataka nini tutaweza kukusaidia. Maana neno Furaha lina maanisha tofauti kwa kila mtu, wengine furaha yao ni kwenye ngono, wengine kilaji, wengine watoto wao, wengine just being alone, wengine pesa etc
Sasa wewe furaha ya aina gani unataka
Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu kujisogeza kwa ndugu zangu karibu ili nipate furaha ya kweli lkn bado cjaipata furaha, NIMEBADILI WANAUME KILA KUKICHA KUSUDI NIPATE FURAHA/UPENDO WA KWELI huku ndo kwanza NIMEAMBULIA KILIO, wana JF nisaidieni niwapi kunapatikana furaha/upendo wa kwlei kusudi niende nikajipatie, mwenzenu nimezunguruka bila mafanikio..
kwa nini utake kutafuta furaha kwa watu.....furaha yako ipo ndani yako mwenyewe.......
kuna jamaa mmoja anaitwa mchajikobe m pm atakupa furaha ya kweli hadi ukinai!
kwa nini utake kutafuta furaha kwa watu.....furaha yako ipo ndani yako mwenyewe.......