CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
nayombaga loshindo lwako sasa,ulembele gete olenya...loading error..
ugulya bani ng'wanangwa...hahahhaa!
nayombaga loshindo lwako sasa,ulembele gete olenya...loading error..
eeeh hange!!!
gabizaga ga geko?loshindo? ha ha ha
uko wapi nikupe gari ya kukupeleka musoma rafiki yangu wa siku nyingi?mida hii niko plasma nyegezi njoo uone watoto wa kinyaturu
Mkuu nipo maeneo ya Nyamagana sasa hivi. Plasma ndio wapi mkuu? Dah, tumepoteana sana, ulishaolewa nini mbona kimya sana rafiki? Maana sie wanaume sometimes tukimweka mtu ndani tunakata links zote!
Hiki sio kisukuma cha ntuzu.wewe utakua unatoka kahamabhing'we yombagi jiswahili mgulya bani, mledokela nshindo hangi ng'wabhi bachilu ghete!
Hiki sio kisukuma cha ntuzu.wewe utakua unatoka kahama
hahhaha uenchekesha kweli rafiki sio kuolewa tu hata wa kuniambia babe ulale salama sina nimeamua kujishuhulisha na mambo ya Bwana na kutafuta ela
kushughulika na mambo ya Bwana na Pesa unafikiri kunakuonddolea uanauke wako?!...teh, mi napita tu mkuu nimeona niwasabahi.
hahhaha uenchekesha kweli rafiki sio kuolewa tu hata wa kuniambia babe ulale salama sina nimeamua kujishuhulisha na mambo ya Bwana na kutafuta ela
Kapart tuu ya NMB moro kubuma
Nitaingia Mwanza muda si mrefu. Nitakwepo hapo mpaka Jumatatu ya wiki ijayo, halafu Jumanne nitaelekea Musoma, nitarudi Mwanza kesho yake na kukimbia fast kurudi Dar.
Nataka kuonana na mtu maarufu kabisa wa Jf kutoka Mwanza.
Sifa za mtu ninayeweza kuonana naye
1. Awe mwanamke
2. Asiwe mke wa mtu, mke wa mtu - kaa mbali - yaani far away
3. Awe social - sio muda wote amenuna (awe na busara na hekima, tafadhali mambo ya jf weka mbali)
4. Awe amejiregister JF na mwanachama hai kwa muda usiopungua miaka 4.
Nimeanza ziara zangu zile za kuzunguka mikoa kadhaa kama ilivyo ada kila mwaka.
charminglady kama upo tayari, pick me up! Vinginevyo nafasi ipo wazi mpaka itakapojazwa.
NB: Kuonana na mie sio mwisho wa kutoa maoni (tena ikiwezekana yanayokukera haswaaa) wala uhuru wangu hapa jf, never ever, ikitokea kutokukubaliana au hata kuhasimiana humu kwa sababu ya tofauti zetu, mie hata kukupa za uso nakupa, I have done that and no one will stop me, life is mine. Who Cares?
Nia ya kukutana: Networking.
Simplicity.