Nitaingia Mwanza muda si mrefu, who is there?

Nitaingia Mwanza muda si mrefu, who is there?

Kwi kwi kwi kwi mwambie ulikuwepo hapa tangu mwaka '47, ila ulipoteza pw hivyo ikabidi ushuke na ID mpya. Kila la heri 🙂🙂

punguza basi muda kidogo nami nije sifa nnazo ila sijatimiza miaka 4 jf....
 
Kila mji una mwenyewe mimi kitamaduni na nje ya katiba ya sasa natambulika Kama mkuu wa mkoa hapa mwanza,hivyo ni vyema ukaja Saini kitabu cha wageni,kila mji una miiko yake
yeee wanisecha sana nkoi,onsumba ng'wenoyo alekobha kozinga bhanike bhise loshindo lwakwe..
 
Karibu nyakato national mkuu

Napandisha kuelekea maeneo ya Makoroboi, bado hatujafikia mwafaka na mwenyeji wangu tutakuwa wapi hasa kwa leo. Huenda tukazungukia maeneo ys St. Augustine Univ. baadaye.
 
Kwa hiyo Unataka kuongeza, Kila la kheri mkuu, ila angalia wake za watu hawana chata usoni. Usije toka na manundu baada ya kulamba dume. Karibu Mwanza kwetu.

Ndio maana nimesema mke wa mtu hapana.
 
Napandisha kuelekea maeneo ya Makoroboi, bado hatujafikia mwafaka na mwenyeji wangu tutakuwa wapi hasa kwa leo. Huenda tukazungukia maeneo ys St. Augustine Univ. baadaye.
nayombaga loshindo lwako sasa,ulembele gete olenya...loading error..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom