Nitaingia Mwanza muda si mrefu, who is there?

Nitaingia Mwanza muda si mrefu, who is there?

hahahaa, kazi kwelikweli! haya sasa wadada wa ng'wanza kazi kwenu mchepuko huoooo, unataka mwenyeji wa jf miaka minne wakati wenyewe una miezi miwili jf...lol!
 
hahahaa, kazi kwelikweli!
haya sasa wadada wa ng'wanza kazi kwenu mchepuko huoooo, unataka
mwenyeji wa jf miaka minne wakati wenyewe una miezi miwili
jf...lol!

umenichekesha sana, tho sina kigezo cha miaka 4 ila ningemuona tu niwaletee majibu si wanajidai kuwa wa maana? dah akaribie aseme atakuja na ndege ya sa ngap?
 
Nitaingia Mwanza muda
si mrefu. Nitakwepo hapo mpaka Jumatatu ya wiki ijayo, halafu Jumanne
nitaelekea Musoma, nitarudi Mwanza kesho yake na kukimbia fast kurudi
Dar.

Nataka kuonana na mtu maarufu kabisa wa Jf kutoka Mwanza.

Sifa za mtu ninayeweza kuonana naye

1. Awe mwanamke

2. Asiwe mke wa mtu, mke wa mtu - kaa mbali - yaani far away

3. Awe social - sio muda wote amenuna (awe na busara na hekima,
tafadhali mambo ya jf weka mbali)

4. Awe amejiregister JF na mwanachama hai kwa muda usiopungua miaka 4.

Nimeanza ziara zangu zile za kuzunguka mikoa kadhaa kama ilivyo ada kila
mwaka.

charminglady
kama upo tayari, pick me up! Vinginevyo nafasi ipo wazi mpaka
itakapojazwa.

NB: Kuonana na mie sio mwisho wa kutoa maoni (tena ikiwezekana
yanayokukera haswaaa) wala uhuru wangu hapa jf, never ever, ikitokea
kutokukubaliana au hata kuhasimiana humu kwa sababu ya tofauti zetu, mie
hata kukupa za uso nakupa, I have done that and no one will stop me,
life is mine.
Who
Cares?


Nia ya kukutana: Networking.


Simplicity.

mkuu ulikuwa umeshuka bomba ila ukahalibu mwisho eti networking? dah! ila karibu rock city.
 
PA187961.JPG
 
umenichekesha sana, tho sina kigezo cha miaka 4 ila ningemuona tu niwaletee majibu si wanajidai kuwa wa maana? dah akaribie aseme atakuja na ndege ya sa ngap?

wazinzi utawajua tu, anakwambia "networking", tena ya wadada walio single tu...bwahahahaha! ongea naye pm huendda akalegeza vigezo.
 
hahahaa, kazi kwelikweli! haya sasa wadada wa ng'wanza kazi kwenu mchepuko huoooo, unataka mwenyeji wa jf miaka minne wakati wenyewe una miezi miwili jf...lol!

Nipo tangu Jf ianze.
 
umenichekesha sana, tho sina kigezo cha miaka 4 ila ningemuona tu niwaletee majibu si wanajidai kuwa wa maana? dah akaribie aseme atakuja na ndege ya sa ngap?

Unamaanisha nini kusema kujidai kuwa wa maana? Kivipi? Uje unione halafu uwaletee majibu ya nini? Ili iweje? Mie nafahamiana na wanajf sio chini ya 500, na wengine nawafahamu lakini wao hawanifahamu sasa ningekuwa na akili kama yako ingetokea nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom